uuuuuuuwwwwiiiii ni X-mass jamani...
hivi leo tarehe 23/12/2010 bado siku ngapi ifike krismasi? Nachelea kuchangia hapa nisije haribu mpango wangu wa kushiriki sakramenti tarehe 25/12/2010
afrodenzi can we be friends? Plz, plz an pleese! Ni pm with your contacts then i'l e mail n call you'. Porfavor.
mmmmhhh Wameiba Kura utanipeleka kubaya ndugu yangu
mmmhhh hiyo tower hapo nyuma ya post card ..
halafu wapendanao mbele wakisalimiana kwa lugha takatifu mmmhhhhh
unanitamanisha ..
hahhahahahhha lol
nway ni X-mass ngoja ni tulie lol😛arty:
mmmhhh Mokoyo asante sana mkuu..
lakini ulikuwa wapi wakati babu DC alinifanyia surprise party ..
Na pombe za kikwetu zilikuwepo
mmmhhh zilikuwa bure tena ..lol..:whoo:
mie nataka 10 hahahah lol
afrodenzi. I love you, locuramente. Te quero mas que nada, tu eres muy cariñosa,maraviyosa.
Mambo hayo! Tangaza ndoa wabongo wanapenda sana kusikia hilo
Mambo hayo! Tangaza ndoa wabongo wanapenda sana kusikia hilo
hahahahh lol mmhhh haya ..
nenda kwenye profile yangu utakuta email yangu lol
duuhh hizo please ni ngingi kidogo lol
lakini kinaeleweka ni x-mass hahahahah lol
take care
Alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenyanganywa kaka tena? Karibu tule bata huyo hana ubaguzi ndugu....afrodenzi. Te quero mas que nada(i love u than any thing) tu eres muy cariñosa y maraviyosa(you are very honey and switest) natamani ningekua tz nikutafute you look like my x chotara wa ki brazil and cape verde, she waz my first lover tulipokua chuo kikuu havana. An now she maried with the son of the brazilian ambasador in washington. Inauma et eeh. Boy friend wako ana bahati sana kua nawe, nahisi we charmin sana you love to be hapy most of the time. Cuidate mi amor.
Masanilo Wakaribishwa kula bata mkuu, tutashushia na MOSHI au machozi ya simba kutoka ile pande yetu au sio?
hahahahahahha lol Rev tunakusubiri wewe....
mpaka hiyo hang over iishe halafu utufungishe .....
tunajaribu kukupa tonic water lakini ulicho kunywa mmmhhhhh
ni hatari hata hii power red haiingii hahhaha lol
oooohh BRUCE, those are the most sweet words ever..
thank u very much..
im so srry to hear abwt ur x..
but i guss thats life .... im sure u will get one same or better than ur x..
nway please dont think about sad staff in ur life this x-mss
and i would love for you to start a new year with Positive altitude...
Smile, Be happy, Love.....
u will never go wrong with those three things..
lots of love
AD:hug:
mmmmhhh Wameiba Kura utanipeleka kubaya ndugu yangu
mmmhhh hiyo tower hapo nyuma ya post card ..
halafu wapendanao mbele wakisalimiana kwa lugha takatifu mmmhhhhh
unanitamanisha ..
hahhahahahhha lol
nway ni X-mass ngoja ni tulie lol😛arty:
afrodenzi can we be friends? Plz, plz an pleese! Ni pm with your contacts then i'l e mail n call you'. Porfavor.
Thank you! yaani hako kapicha, umbo la kopa lililotengenezwa kwa snow ndio imenimaliza kabisa uuwii, ingawa hapa nilipo snow imekuwa nyingi mpaka inakera lakini hiyo uliyoniwekea hapo aaah, I love it as much as I love you, anyway.....u never know,,, tunaweza kuonana siku moja.
Hofu yangu tunaokupenda ni wengi, tusije tukapigana online bure!!!!! au ndio ule msemo nyama inaliwa na mwenye kisu kikali? teh teh teh!
Hahahahahahahahahahah nimekusoma Kamanda!