Halafu Rev siku moja nimekuona ukiwa na bonge la CHUPA nadhani ndani kulikuwa na CHOZI la simba mkuu...
Thank you! yaani hako kapicha, umbo la kopa lililotengenezwa kwa snow ndio imenimaliza kabisa uuwii, ingawa hapa nilipo snow imekuwa nyingi mpaka inakera lakini hiyo uliyoniwekea hapo aaah, I love it as much as I love you, anyway.....u never know,,, tunaweza kuonana siku moja.
Hofu yangu tunaokupenda ni wengi, tusije tukapigana online bure!!!!! au ndio ule msemo nyama inaliwa na mwenye kisu kikali? teh teh teh!
Habari kama hizi unaniPM mkuu! watasoma wanakondoo wananikimbia hata sadaka itakuwa ni issue. Nafungisha ndoa wanaume 2 mwanamke mmoja inakubalika hiyo
Utabaniwa wewe na mods kwa kosa la kutongoza live hapa....
uwii kama huku nyanda za juu ni baridi sana karibu huku mitaa ya chini ..
si ndo summer and im loveing it lol
hahaha hofu ondoa ndugu yangu si unajua ni x-mass ..
just give out same love lol..
hahahah lol
leo ndio nimejua ww na preta ni wairaq, mm pia, saita ama? ka dima siuriye, ana diri CA, USA, ako mungu inzunki
Mchungaji, nitafurahi sana ukifungisha ndoa yetu, hata ukiwa tungi chakari haina kwere, the bible says, we dont need to give a damn shit to what the servants of God do but what they preach to us, so, Rev. Masa....move on, I will soon set an appointment!
halafu ww unamtishia mwenzako ili ww umchukue toto la kiiraqw, bana mm nipo beneti naye, naasi ama muki gaa'a'we, king ngiloa thaair, mods nimesha mhonga,
Duh nilikukosa weye upo kumbeeee....bata hata xmass aliwa dear hivyo hofu no afrodenzi
mmmhhh yeah mi ni muiraqi...
nafurahi kusikia wewew ni wa kwetu lol
sayu i doma...
barageeri hahah lol
Habari kama hizi unaniPM mkuu! watasoma wanakondoo wananikimbia hata sadaka itakuwa ni issue. Nafungisha ndoa wanaume 2 mwanamke mmoja inakubalika hiyo
Afrodenzi the way you write am sure is how beauty u r...
mi nipo ndugu yangu ..
we ndo umepotea...
mmmhh kwa kweli naona umepata kitu ndani ya boxi yake kabla ya x-mass lol
halafu ww unamtishia mwenzako ili ww umchukue toto la kiiraqw, bana mm nipo beneti naye, naasi ama muki gaa'a'we, king ngiloa thaair, mods nimesha mhonga,
mmmhhh yeah mi ni muiraqi...
nafurahi kusikia wewew ni wa kwetu lol
sayu i doma...
barageeri hahah lol
Nakwambia mie nipo tu ila nilipotea kidogo si unajua tena kumpata bata sio kitu rahisi mtu wangu....karibu next bata..
thank u so much sweet heart....
im sure ur as handsome as u sound to lol
:whoo::whoo:
sayu ama, nime Ku PM bana, ebu njoo huku uani tuongee kidogo bana, hapa sebuleni watu wengi utafikiri nyuki kwenye ua bana, naasi ama
Jihadhari na matapeli.....mie simo....simo ....simo! am just saying, teh teh teh! and its nothing personal or jelousy for that matter!
Mnachakachua sasa....Ngoja mie niwe Mmarekani tuone sasa nani yuko fiti...