Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #101
Jamani BATA mweupe wala hanogi! Pata Bata mweusi mmmmhhhh
Wanifurahisa sana Kijana wangu! Mambo ya Xmas hayo raha tu
Njoo bibie tuvinjari na bata, huku tukishushia na moja baridi moja moto....
Jamani kwanza kama nitakuwa ninavuruga Taratibu za Kupost hii thread hapa nisameheni, Leo nimemla bata, kumbe kweli kama unataka kufaidi Mle Ukiwa umempakata....Ile nyama ilosemwa ya nyuma kiama chake utadhani unakula kila KIDULI au KITHERI cha Kimasai.....Bata jamani apewe number one kwa utamu.....je wewe, umewahi kula bata gani?Wa kufugwa au bata Mzinga?.........
Rev Masa hii sredi nimeshindwa hata la kukoment mtu wangu :redfaces:
nisamehe mkubwa na natoka kwenye thread yako hunioni tena,,,
jamani bata mtamu nyie.......................kha........................., yaani hata wakati wa kumpika unavyouzungusha mwiko ndani ya sufuria............acha kabisa , saluti mzee lugha unaijua.....................safi sana
Rev Masa hii sredi nimeshindwa hata la kukoment mtu wangu :redfaces:
Baba Mchungaji mie nitakupa hiyo Thankx ndugu yangu maana lazima siku moja tule bata wawili yaaani mzima mzima au sio Ndugu yangu?Basi nipe thanks tu!
ha ha hahaaaa eti enda dubai na jisamaki.... lol,,, i love dis song verry funny,,,, i love tanzania,,,,
ha ha hahaaaa eti enda dubai na jisamaki.... lol,,, i love dis song verry funny,,,, i love tanzania,,,,