Nimemla Bata Kumbe Side Kick......

Nimemla Bata Kumbe Side Kick......

Jamani BATA mweupe wala hanogi! Pata Bata mweusi mmmmhhhh

Mpwa sasa wewe UnaUbaguzi wa Rangi tena? je wa madoa madoa vipi kama wale Kwareeeeeeeeeeeeee....usiombe mzee na nyama yake ile back bench...
 
Rev Masa hii sredi nimeshindwa hata la kukoment mtu wangu :redfaces:
 
Jamani kwanza kama nitakuwa ninavuruga Taratibu za Kupost hii thread hapa nisameheni, Leo nimemla bata, kumbe kweli kama unataka kufaidi Mle Ukiwa umempakata....Ile nyama ilosemwa ya nyuma kiama chake utadhani unakula kila KIDULI au KITHERI cha Kimasai.....Bata jamani apewe number one kwa utamu.....je wewe, umewahi kula bata gani?Wa kufugwa au bata Mzinga?.........

jamani bata mtamu nyie.......................kha........................., yaani hata wakati wa kumpika unavyouzungusha mwiko ndani ya sufuria............acha kabisa , saluti mzee lugha unaijua.....................safi sana
 
jamani bata mtamu nyie.......................kha........................., yaani hata wakati wa kumpika unavyouzungusha mwiko ndani ya sufuria............acha kabisa , saluti mzee lugha unaijua.....................safi sana


Ala nani alisema bata sio mtamu, wale waloimba, nyama ya bata ni tamu, nyama ya bata ni tamuuuuuuu, Mkuu baada ya kumpika mwenyewe umpakate mkuu utafaidi acha....
 
Ndo bata huyo leo namla tena makuu na picha nitawaletea live....ni wawili hahahah
 
bata niliyemla hapa live wazeeee....
.
images
 
Mwingine huyu hapa nilijazia mazagazaga ili kutia Chachandu la utamu..............

images
 
Huyu nae kimbelembele chake ona sasa Miguu juuuuuuu hula hula bata kaliwa.........

images
 
Mmangu,

Have you taken medicine lately? It seems to me that you are forcing the issue that nobody wants to know. Anyway, unaweza kula bata wa kiume au wa kike. Je ulikula wa jinsia gani?
 
Back
Top Bottom