Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Tena kwa mbwembwe nyingi nilikuwa nausokomezea ukuni bila huruma. Aliponiambia "mbona ukojoi?" nikamwambia nitampatia 15k badala ya 5k. Nimepiga bao moja na nusu! Tena hapo ni baada ya kusukumwa uko kwa hasira. Dadeq, nimevaa zangu vizuri, nachungulia kwa mfuko sina hata mia. N.B Simu huwa naacha gheto au namuachia rafiki yangu kwa sababu hawa viumbe hawanaga dogo. Kumbe pesa ya uchakataji sikubeba!
Acha aanze kunipandishia sauti, alooo! Kumbe wana vibesi sio poa, zile sauti zao za vilainishi ni kwa lengo la kuvuta wateja! Dada poa zote si ndipo kukusanyana, wenye kunipiga kwa viatu vyenye kisigino kirefu walifanya hivyo, wenye viganja visu walifanya hivyo, wenye kucha za vikwangulio walifanya yao ili mradi niumie tu [emoji26]
Kelele za hawa mazombi zilivyozidi, wauni wakatinga pande hizo na kunikutanisha makofi, mateke na mangumi. "Au tuyafumueeee, nini!" Wakati natetemeka, nikaskia "Au tuchukue simu yake". "Hana simu". "Basi chukueni nguo zake" Baada ya utapeli huo niliofanyiwa niliamua kuingia barabara kuu na kuanza jogging kuelekea gheto nikiwa kifua wazi, pensi tu na sandals za Guchi. Ni kama vile niliota, je nisingetinga pensi nikasema nitoke na bokisa je! [emoji26][emoji26]
Ilinitokea jana saa tano usiku. Na hili nalo mkalitizame...