Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

Wewe mpuuzi tu! Unakumbuka ulisemaje

 
https://www.jamiiforums.com/threads...utana-na-rais-putin-ikulu-ya-kremlin.2077573/

mawenge uyu. mara ameishia la saba, leo anabonga pumba..

anzisha story mkuu tutaSubsribe tu bila hayana
 

Tangawizi muhimu kwenye chai
 
Wadukuma tulivyo wajinga usikute kweli bro kaenda london, na yy kweli anatokea maganzo. Kama bro yumo humu jua umevunja ndoa
 
Chai
 
Wait a minute, huyo ni kaka yako tumbo moja? Baba mmoja na mama mmoja? Uandishi wako sio wa mhitimu wa darasa la saba bali zaidi ya hapo, labda darasa la saba la miaka ya sabini. Na darasa la saba la wakati huo usingekuwa unafanya kazi za aina hiyo. Kama ni kweli umefanya hivyo na unakuja kujisifu humu basi HUNA ADABU. Nenda kaombewe.
 
Biology halafu umeishia la saba, hii kamba
 
Sijashangaa stori kuwa ya uongo nachojiuliza hivi wazazi wako wanaona aibu kiasi gani kukuleta
 
Kwa hiyo kaka yako anahudhuria vikao London lakini anaishi kwenye nyumba ambayo haina master bedroom!! Chai haina sukari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…