Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Una pesa!!!!!!!!!!!
za nyanya tu dada!
ila nahisi kuungua maini kila ninapomuwaza!
Umetoka mwanza eeeh!! kona ipi paleee!!? Karibu mujini bwana.... pesa za nyanya umwachie beki tatu wako.
Wakikukutanisha na wewe hakikisha hajui umesafiri na uvundo wa basi toka mwanza to dar. Hujamudu hata ki~fast jet wenzio tunabook miezi 3 kabla, utammudu dada wa watu? Ukikutana nae tu kwanza atakuuliza unatumia daladala brand gani.
Usiseme hatujakuonya.
(afu hiyo ID yako nilijua ni mwanamke. Unajiitaje minofu? That sounds cameroonian?)
ndo maneno gani haya we mwanamke? khaa!
aisee ntake radhi!