nimemmezea mate kwa muda mrefu sana, naomba kukutanishwa nae kwa mara ya kwanza

nimemmezea mate kwa muda mrefu sana, naomba kukutanishwa nae kwa mara ya kwanza

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
ladies and gentlemen!!!!! comment est votre nuit?

aisee please mwenye mawasiliano na huyu mwanadada jackline wolper ama wolper gambe naomba anipatie!

nimetokea kumpenda sana, tatizo sijui nimpatie wapi ili nimweleze yangu ya moyoni!

please mwenye mawasiliano nae naomba contact yake!

over!!
 
Umetoka mwanza eeeh!! kona ipi paleee!!? Karibu mujini bwana.... pesa za nyanya umwachie beki tatu wako.

hahaaaa!!! kaka mbona unanimalizia!

toa mawasiliano basi kama vipi!
 
unatembelea ma ta ko ganiii banaa....usije kuta una kivitz
 
Wakikukutanisha na wewe hakikisha hajui umesafiri na uvundo wa basi toka mwanza to dar. Hujamudu hata ki~fast jet wenzio tunabook miezi 3 kabla, utammudu dada wa watu? Ukikutana nae tu kwanza atakuuliza unatumia daladala brand gani.

Usiseme hatujakuonya.
(afu hiyo ID yako nilijua ni mwanamke. Unajiitaje minofu? That sounds cameroonian?)
 
watu wa
mwanza bana!!!mmmmhh
 
ndo maneno gani haya we mwanamke? khaa!

aisee ntake radhi!
 
Maelezo na ID tofauti kabisa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom