Hakuna vocha huko!Hawaendagi n smatphone huko?
Kumbe ndio maana huoni comment zake! Wewe upo "jamii forim" na yeye yupo jamii forums...😀😀Ni muda mrefu kidogo umepita bila kuona comment ya mwenzetu wa jamii forim miss chaga
Any news please
Ameolewa na mkurya.Ni muda mrefu kidogo umepita bila kuona comment ya mwenzetu wa jamii forim miss chaga
Any news please
Mkuu unahakika na habari zako? (kama.nomekuelewa lakini)Miss chagga 2/9/2015 ndo mada yake ya mwisho alileta Huku. Kuna kapositi nimekapoteza jina mchangiaji alisema kashakufa, mod ajue namna ya Kujua wanaotutoka ata kama sii sheria lakini utamaduni wetu unaruhusu
Si mnaona ata mi nimemiss