Nimemmiss sana miss chaga jamani yuko wapi?

Nimemmiss sana miss chaga jamani yuko wapi?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Ni muda mrefu kidogo umepita bila kuona comment ya mwenzetu wa jamiiForums miss chagga

Any news please
 
Kuna ukaguzi wa vyeti feki....kaenda kufungua RB ya kupotolewa na vyeti original na kubakiwa na visivyo original
 
Miss chagga 2/9/2015 ndo mada yake ya mwisho alileta Huku. Kuna kapositi nimekapoteza jina mchangiaji alisema kashakufa, mod ajue namna ya Kujua wanaotutoka ata kama sii sheria lakini utamaduni wetu unaruhusu
Si mnaona ata mi nimemiss
 
Ni muda mrefu kidogo umepita bila kuona comment ya mwenzetu wa jamii forim miss chaga
Any news please
Kumbe ndio maana huoni comment zake! Wewe upo "jamii forim" na yeye yupo jamii forums...😀😀
 
Miss chagga 2/9/2015 ndo mada yake ya mwisho alileta Huku. Kuna kapositi nimekapoteza jina mchangiaji alisema kashakufa, mod ajue namna ya Kujua wanaotutoka ata kama sii sheria lakini utamaduni wetu unaruhusu
Si mnaona ata mi nimemiss
Mkuu unahakika na habari zako? (kama.nomekuelewa lakini)
 
Back
Top Bottom