Nimempa chumba cha nje ndugu yangu (21) kazidisha umalaya, je arudi Nyumba Kuu

Nimempa chumba cha nje ndugu yangu (21) kazidisha umalaya, je arudi Nyumba Kuu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,406
Reaction score
19,375
Ni mtoto wa shangazi yangu alimaliza form 6 mwaka jana, alipata chuo cha SAUT hapa Mbeya hakukipenda so kabaki hapa kwangu na tayari kakubaliwa kuanza mwaka huu chuo anachokipenda

Sasa ishu iliyopo ni kwamba nina nyumba ambayo ina nyumna kuu na vyumba viwili vya nje. Aliniomba akae vya nje nkamkubalia na akawa na furaha na yupo huru.

Tatizo ni kwamba dogo kageuza hicho chumba cha kupunguzia akshi zake za mwili na wasichana tofauti tofauti wa hapa mtaani. Ikifika usiku nimegundua huwa anasafirisha mabinti kwenye chumba chake na asubuhi kuwatoa kwa staili za kininja.

Kwa sasa ana miaka 21 na ninajua katika huu umri mwanaume rijali anakuwa active sana na mwenye hamu zaidi na mabinti maana hata mimi nimepitia huo umri.

Mimi sina noma na dogo kuwa na binti maana mwenyewe ni kijana (29) ninajua situation, Kuna siku nilimwita tuongee kama wanaume nishamshauri kuna magonjwa atumie kinga, sitaki mabinti hapa nyumbani kwangu ikifika usiku na nilisha mpa tiketi ya kukamua chumbani kwake ila tu iwe muda ambao mimi na wife tunakuaga kazini (najua wengi mtashangaa ila binafsi najua sex ni hitaji muhimu kama mengine, siwezi kumzuia)

Wife hajui kitu maana akijua hawataivana kabisa na huyu dogo. Sasa tatizo ni kwamba hii tabia inaweza kuniletea matatizo hapa nyumbani kwangu.

Je, arudi nyumba kuu, ahame, arudi kwao au aendelee kubaki chumba cha nje?
 
Ni kumuelewesha tu ila yeye ndo mwamuzi mkuu.
 
Zungumza naye umpige marufuku huenda atabadilika
Ndicho nachotaka kufanya, sina tatizo na yeye ku sex chumba cha nje ila tatizo ni kufanya shughuli hio usiku wakati nilishamkataza kuanzia jioni sitaki kampani za watu wasioishi haoa kwangu.

Niweke wazi pia nilimpa tiketi ya kupunguza kiwanda lakini zoezi awe analifanya siku za jumatau hadi ijumaa mida ambayo mimi na wife tupo mihangaikoni, Najua kwa umri huu kumzuia kijana ni kumnyima haki yake.
 
Apa ndio hiwa walezi wanageuka wajinga ukisema umbanie sn atapiga puchu cha msing apo fumba macho jifanye km huon vile ili mrad ushamwambia kuna magonjwa
Afu kuhusu swala la wifr wako usimwambie kabisa habar za uyo dogo maana wanawake cjui wakoje atakinukisha
 
Ni wakati wake na ni mtu mzima tayari. Kama ni chumba cha nje haidhuru
 
Endelea kumzuia kuingiza mademu kutoka nje aanze kutafuna waliopo ndani
Huwajui vizuri hawa madogo wa siku hz ukiendeleza huo unaa utapigiwa mke ooohooo
 
Apa ndio hiwa walezi wanageuka wajinga ukisema umbanie sn atapiga puchu cha msing apo fumba macho jifanye km huon vile ili mrad ushamwambia kuna magonjwa
Afu kuhusu swala la wifr wako usimwambie kabisa habar za uyo dogo maana wanawake cjui wakoje atakinukisha
Na huyo mke wake akimwambia anaweza kutombwa pia maana wanawake sijui wapoje inapokuja swala kuona wenzao wanaliwa kwa wingi na mwanaume m'moja nao wanatamani kujaribu.
 
Angalau kuna watu wanaujua uhalisia kama wewe, asante kwa sapoti.

Yes, dogo sijambana kwamba asilete mabinti chumbani kwake maana najua madhara yake maana binafsi na mimi ni kijana.

Nilimpa ratiba yake ya kufanya haya mambo iwe ni siku na muda ambao mimi na wife hatupo mazingira ya nyumbani, Yaani jumatatu hadi ijumaa kuanzia mida ya saa tatu hadi jioni saa 11, Kwanza anavyoleta usiku sio salama maana mabinti wengine wanaweza wakawa wametoroka huko kwao ikawa kesi, pia tatizo likitokea kwa binti usiku huduma kama hospitali na usafiri ni adimu na pia anaweza kujiharibia wife siku akijua huu mchezo wake.

ishu ni kwamba tu hajaridhika na huu uhuri adimu niliompa, ni watu wachache sana tunaweza kutoa hizi ruhusa
 
Ni wakati wake na ni mtu mzima tayari. Kama ni chumba cha nje haidhuru
Changamoto

1.Binti anaweza akawa ametoroka kwao na kwao wakijua kwamba kalala hapa kwangu haitakuwa poa.

2.binti tatizo linaweza kumpata huo usiku ambalo halitaweza kutatulika kwasababu huduma kama hospitali au usafiri ni adimu.

3.Dogo anajiharibia kwasababu akiendelea kuna siku lazima wife ambambe, na ikitokea hivi dogo na wife hawataivana kabisa, dogo anaweza kurudi huko kwao kabisa.
 
Na huyo mke wake akimwambia anaweza kutombwa pia maana wanawake sijui wapoje inapokuja swala kuona wenzao wanaliwa kwa wingi na mwanaume m'moja nao wanatamani kujaribu.
Naam nikweli hahaha
Tena hii mara nyingi hutokea pindi ambapo mwanamke atakapo kuona una m-drive mwanamke ambaye ni mzuri sana kushinda yeye . .huwa anajiuliza kilicho sababisha mpaka huyo mwanamke anase kwako ni nini ..na yeye hutaka kujaribu ili ajue yaliyomo
 
True kabisa yaani
 
Wew ni muungwana sana,mkalishe chini tena mweleze unachokitaka akikaidi mfukuze akapange chumba chake au arudi kwako
Over
 
Ukimsogeza karibu zaidi ndani ataishia kumla mkeo na hapo ndipo utachanganyikiwa.
 
Apa ndio hiwa walezi wanageuka wajinga ukisema umbanie sn atapiga puchu cha msing apo fumba macho jifanye km huon vile ili mrad ushamwambia kuna magonjwa
Afu kuhusu swala la wifr wako usimwambie kabisa habar za uyo dogo maana wanawake cjui wakoje atakinukisha
Sure boss atakinukisha halafu unaweza shangaa mwisho dogo anamtafuna na mkewe...wanawake hawatabiriki hawanaga adui wa kudumu.
 
Kwamujibu wacomment nyingi zahumu hasahasa zakumwambia mleta uzi atagongewa mke wake aminini nawaambia dogo anaenda kutimuliwa
 
Back
Top Bottom