N THE GREAT
Member
- Mar 30, 2016
- 9
- 26
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu baba anafundisha eneo la mbali hivyo Huwa anarudi weekend tu lakini siku zingine Huwa analala hukohuko.
Basi nikajikuta nimezoeana na huyu mama mpaka Sasa tukajikuta tuko kwenye penzi zito, kupeana mapenzi imekuwa desturi kwetu.
Sasa juzi kanambiaa anajiona Ana MIMBA na MIMBA hii ana uhakika ni yangu..
Natamani nitoroke, nihamie asipopajua lakini ananiambia nisifanye hivo maana kanizoea Sana na swala la MIMBA anajua jinsi ya kufix na mume wakebnaogopa jamani..
Na anasema eti mimi namridhisha kuliko mume wake..