Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
a-deal na mkewe mgawaji aachane na VIJANA.unafikiri yupo anaeruhusu hilo..ndio sababu nikamwambia asubiri majibu hapohapo
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a-deal na mkewe mgawaji aachane na VIJANA.unafikiri yupo anaeruhusu hilo..ndio sababu nikamwambia asubiri majibu hapohapo
Aanze na mkewe malayaNgoja ukutane na wehu wakuchinje utuachie hiyo bodaboda tuinjoi.
Huyo hawezi kuhama tena,atahamishwa tu,pindi kichwa yake ikivunwa kama kibuyu.Unajiamini vibaya .,..Una hakika humu jf hayupo mmewe? Umetenda dhambi...Fanya toba, hama hapo
Wanawake sio wa kuwamini, akikwambia wewe ndio unamridhisha kuliko mumewe, hayo maneno kashawaambia wanaume wengi sana. Hata mumewe hadi akamuoa ndio alikua anamfikisha kuliko wanaume wengine wa nyuma yake na hata baada ya wewe mwanaume mwingine atakaekuja ataambiwa hivyo hivyo.
Kuhusu Mimba kuache alee.
😂😂Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu baba anafundisha eneo la mbali hivyo Huwa anarudi weekend tu lakini siku zingine Huwa analala hukohuko.
Basi nikajikuta nimezoeana na huyu mama mpaka Sasa tukajikuta tuko kwenye penzi zito, kupeana mapenzi imekuwa desturi kwetu.
Sasa juzi kanambiaa anajiona Ana MIMBA na MIMBA hii ana uhakika ni yangu..
Natamani nitoroke, nihamie asipopajua lakini ananiambia nisifanye hivo maana kanizoea Sana na swala la MIMBA anajua jinsi ya kufix na mume wakebnaogopa jamani..
Na anasema eti mimi namridhisha kuliko mume wake..
Utakapo dakwa utasema vizuri anza na mkeo, wakati wese ushapakwaAnza na mkeo mzee
Utagombana na vijana woteeee, UTAWEZA???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kijana ushakula Tunda kimasihara subiri matokeo tu.Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu baba anafundisha eneo la mbali hivyo Huwa anarudi weekend tu lakini siku zingine Huwa analala hukohuko.
Basi nikajikuta nimezoeana na huyu mama mpaka Sasa tukajikuta tuko kwenye penzi zito, kupeana mapenzi imekuwa desturi kwetu.
Sasa juzi kanambiaa anajiona Ana MIMBA na MIMBA hii ana uhakika ni yangu..
Natamani nitoroke, nihamie asipopajua lakini ananiambia nisifanye hivo maana kanizoea Sana na swala la MIMBA anajua jinsi ya kufix na mume wakebnaogopa jamani..
Na anasema eti mimi namridhisha kuliko mume wake..
Huna akili ya kichwani na Maisha pambana na hili yakoNaombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu baba anafundisha eneo la mbali hivyo Huwa anarudi weekend tu lakini siku zingine Huwa analala hukohuko.
Basi nikajikuta nimezoeana na huyu mama mpaka Sasa tukajikuta tuko kwenye penzi zito, kupeana mapenzi imekuwa desturi kwetu.
Sasa juzi kanambiaa anajiona Ana MIMBA na MIMBA hii ana uhakika ni yangu..
Natamani nitoroke, nihamie asipopajua lakini ananiambia nisifanye hivo maana kanizoea Sana na swala la MIMBA anajua jinsi ya kufix na mume wakebnaogopa jamani..
Na anasema eti mimi namridhisha kuliko mume wake..
Patakuwa kitanzini hapoNaombeni ushauri ndugu zangu,

Huyo teacher anafundisha Dodoma ana private car huwa anaenda nayo kazını 😂Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu baba anafundisha eneo la mbali hivyo Huwa anarudi weekend tu lakini siku zingine Huwa analala hukohuko.
Basi nikajikuta nimezoeana na huyu mama mpaka Sasa tukajikuta tuko kwenye penzi zito, kupeana mapenzi imekuwa desturi kwetu.
Sasa juzi kanambiaa anajiona Ana MIMBA na MIMBA hii ana uhakika ni yangu..
Natamani nitoroke, nihamie asipopajua lakini ananiambia nisifanye hivo maana kanizoea Sana na swala la MIMBA anajua jinsi ya kufix na mume wakebnaogopa jamani..
Na anasema eti mimi namridhisha kuliko mume wake..
Naombeni ushauri ndugu zangu,

Sawa mtaalamu wa mapenzi subiri na wewe mume wake akuridhishe na ulete mrejesho huku kama unavyojitapa hapa kwa kumpa nesi mimba.Naombeni ushauri ndugu zangu,