Nimempa mimba mama mwenye nyumba wangu

N THE GREAT

Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
9
Reaction score
26
Naombeni ushauri ndugu zangu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.

Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa

Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu baba anafundisha eneo la mbali hivyo Huwa anarudi weekend tu lakini siku zingine Huwa analala hukohuko.

Basi nikajikuta nimezoeana na huyu mama mpaka Sasa tukajikuta tuko kwenye penzi zito, kupeana mapenzi imekuwa desturi kwetu.

Sasa juzi kanambiaa anajiona Ana MIMBA na MIMBA hii ana uhakika ni yangu..

Natamani nitoroke, nihamie asipopajua lakini ananiambia nisifanye hivo maana kanizoea Sana na swala la MIMBA anajua jinsi ya kufix na mume wakebnaogopa jamani..

Na anasema eti mimi namridhisha kuliko mume wake..
 
Endelea kumla mzee raha ya dunia ni kula mbususu za wake wa watu.
Tena sasa muombe huyo mama mwenyewe nyumba akutunumu tigo
 
Jiandae nakwambia jiandae
 
Kuanzia sasa anza kutundika koti lako mlango wa mbele hspo unapoishi.Utaanza kuitwa "Mnyakaye"/fazahausi/baba mwenye nyumba.
 
Wanawake sio wa kuwamini, akikwambia wewe ndio unamridhisha kuliko mumewe, hayo maneno kashawaambia wanaume wengi sana. Hata mumewe hadi akamuoa ndio alikua anamfikisha kuliko wanaume wengine wa nyuma yake na hata baada ya wewe mwanaume mwingine atakaekuja ataambiwa hivyo hivyo.

Kuhusu Mimba kuache alee.
 
sasa unaogopa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…