Nimempa mimba mama mwenye nyumba wangu

Hapo kwenye kufix ni kufixiwa marinda na baba mwenye nyumba so kaa Kitaalam.
 
Hama mji haraka sana kama siyo kuhama mtaa. Pia kata mawasiliano jumla.
 
Umeiweka vzuri
 
😂😂
 
Umeanza mwaka vizuri apo mambo ya kulipa kodi sahau,utakula pension yake fresh ila omba mtoto atakayemzaa msifanane
Mtoto mkifanana tutaskia maskini kijana amekufa akiwa mdogo
 
Kijana ushakula Tunda kimasihara subiri matokeo tu.
Watu wapite na iyo Beacon tu hamna namn
 
Huna
Huna akili ya kichwani na Maisha pambana na hili yako
 
mkuu kuna kusukumwa tope pia kwahyo endelea kupiga paipu wake za wenyewe.
 
Kwanza pumbavu zako kwa kumtafuna mama mwenye nyumba, pili ni kawaida sana kujikuta umezama kwenye penzi na mwenye nyumba au mpangaji mwenzako, kula, kula ila usitie mimba itakuwa kasheshe kama uliyemtafuna ana mahusiano ya kindoa
 
Patakuwa kitanzini hapo

Kamtaa fulani kako juu ya uhindini

Kazi kwako
 
Huyo teacher anafundisha Dodoma ana private car huwa anaenda nayo kazını 😂
 

Haya mambo yananihuzunisha sana.Pole sana maana pia nahisi ulilogwa au umejiloga mwenyewe.Pia ujue tu kuna mgogolo uliotulia ukisubiria muda.Hapo hamjapima afya bado upate jambo la pili la kukusumbua akili.
 
Sawa mtaalamu wa mapenzi subiri na wewe mume wake akuridhishe na ulete mrejesho huku kama unavyojitapa hapa kwa kumpa nesi mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…