Kwa sababu umempa nenda kaichukue kabla haijaleta balaaWasalaam
Jamani kichwa kama kinavojieleza ni kwamba nimepiga mimba mtoto wa shule.
Huyu mtoto ni private candidate sasa ningependa kujua kama na hapa serikali itaninasa kisheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinga ya nini bora kuacha tuuYaani dunia hii bado unafanya mapenzi bila kinga?
Wasalaam
Jamani kichwa kama kinavojieleza ni kwamba nimepiga mimba mtoto wa shule.
Huyu mtoto ni private candidate sasa ningependa kujua kama na hapa serikali itaninasa kisheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe pia unafanya haya.
Mkuu - tafuta Mahakama yoyote - Muone Hakimu au Mwendesha Mashataka - mwambie hiyo kitu. Nina hakika hapo utapata ushauri mzuri wa kukufaa- kuliko huku JF.
Mkuu, hongera maana hadi hapo umeisha badilisha jina lako unaitwa "Mfungwa wa Miaka 30' na nchi yako ni Gerezani".
Umepata ulichokuwa unakitafuta.