Nimempa mimba mwanafunzi mtahiniwa binafsi, Je ni kosa kisheria?

Nimempa mimba mwanafunzi mtahiniwa binafsi, Je ni kosa kisheria?

McNair

Senior Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
182
Reaction score
130
Wasalaam

Jamani kichwa kama kinavojieleza ni kwamba nimepiga mimba mtoto wa shule.

Huyu mtoto ni private candidate sasa ningependa kujua kama na hapa serikali itaninasa kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute wakili wa bei poa kama upo mjini, atakushauri nini cha kufanya usiumize kichwa!
 
Wasalaam

Jamani kichwa kama kinavojieleza ni kwamba nimepiga mimba mtoto wa shule.

Huyu mtoto ni private candidate sasa ningependa kujua kama na hapa serikali itaninasa kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu - tafuta Mahakama yoyote - Muone Hakimu au Mwendesha Mashataka - mwambie hiyo kitu. Nina hakika hapo utapata ushauri mzuri wa kukufaa- kuliko huku JF.
 
Kumbe na wewe pia unafanya haya.

mkwe pale kati patam hapawezi kumuacha mtu yoyote salama, haijalishi una ubabe kiasi gani ila mbele ya papuchi unavua mwenyewe na kua kama bwege, usimshangae kijana anatekeleza haki yake ya msingi ya kujamiiana na kupata utam na raha ya tendo adhim la ngono.
 
Mkuu - tafuta Mahakama yoyote - Muone Hakimu au Mwendesha Mashataka - mwambie hiyo kitu. Nina hakika hapo utapata ushauri mzuri wa kukufaa- kuliko huku JF.

Duuh kaka unaushauri wa kichochezi kweli daah yaani unataka ajipeleke mwenyewe machinjioni.
 
Mkuu, hongera maana hadi hapo umeisha badilisha jina lako unaitwa "Mfungwa wa Miaka 30' na nchi yako ni Gerezani".

Umepata ulichokuwa unakitafuta.
 
Mkuu, hongera maana hadi hapo umeisha badilisha jina lako unaitwa "Mfungwa wa Miaka 30' na nchi yako ni Gerezani".

Umepata ulichokuwa unakitafuta.

kwa utawala huu nakushauri moja kati ya haya mawili kimbia nchi na urudi kipindi ambacho ccm itakua imetolewa madarakani au mshauri mkaitoe hiyo mimba otherwise kaka jiandae kua mnyampala gerezani utakua unalala saa 10 jioni hautoliona jua likizama wala nyota za angani kwa muda wote utakaokua jela.
 
Serikali ilisema aliyepata mimba asirudi shule. Hiyo ni fursa ya kuoa.
weka mke ndani endelea na maisha
 
Back
Top Bottom