Nimempa talaka mke wangu kisa kushabikia simba

Mophology ya kichwa chako tu kinabainisha kuna kitu kwako kimecheza aka dishi limecheza kiduchu ujue! Kama vp wahi milembe mapema.
Tatizo wewe ni Mbu Mbu mbu ...in rage voice
 
Habari Wakuu,

Tangu Makolo wapate ofa ya mchongo kwenda Super League (ingawa hawakuwa na uwezo), huyu mke wangu ni kolo dam dam, amekuwa wa kunipigia makele kila siku kiasi kwamba nilianza kukasirika sana but nimevumilia sana.

Jana baada ya makolo kufurushwa nimemkuta amenuna na kupika hataki [emoji23][emoji23], nikaona huu ni ujinga. Yaani ukolo wako unitese mimi? Nimetimua kwao, now simu zinaita ukweni then nitazi-block kabisa

NB: Vipi wakuu kwa mujibu wa rage kuhusu makolo, nimekosea?

View attachment 2792214
Bora umemwacha mtoto wa mtu, ndoa ya watoto huwa haidumu.
Mwanamke huwa anataka mwanaume anayejielewa
 
Habari Wakuu,

Tangu Makolo wapate ofa ya mchongo kwenda Super League (ingawa hawakuwa na uwezo), huyu mke wangu ni kolo dam dam, amekuwa wa kunipigia makele kila siku kiasi kwamba nilianza kukasirika sana but nimevumilia sana.

Jana baada ya makolo kufurushwa nimemkuta amenuna na kupika hataki [emoji23][emoji23], nikaona huu ni ujinga. Yaani ukolo wako unitese mimi? Nimetimua kwao, now simu zinaita ukweni then nitazi-block kabisa

NB: Vipi wakuu kwa mujibu wa rage kuhusu makolo, nimekosea?

View attachment 2792214
Aahaaaa
Umepatia
 
Back
Top Bottom