Nimempa tunda ‘mubaba’, sasa yamenikuta

Ulilala naye bila Condom? Kwa kweli sina hata ushauri kwa watu wa hovyo kama wewe.
 
Ulilala naye bila Condom? Kwa kweli sina hata ushauri kwa watu wa hovyo kama wewe.
Unataka na wewe umgonge bila condom au unamshauri nini akagongwe tena bila condom hio ndio dawa ya asili?
 
😂😂😂😂😅😅
Yes 'Mideko' hautawashwa Ila shughuli utayoipata hautaacha kusimulia hadi Jf utafungulia Uzi kusimulia shughuli pevu yaan ni mgongo mgongo haswa unagongwa hadi unagongeka
 
Kunaa tyubu ya kukamulia kwwnye bomba nenda phamacy ukaiulizie hiyo unakamua kwenye bomba tyub nzima sthen ukimaliza kuoga usiku jifute vizuri then chuxhumaaa halafu ile bomba unaliingiza lote unasukuma ile dswa yote
 
Muandiko una uanaume fulani, sasa sijui ni dume unazingua watu au ni gay umekuja kivingine.

Kwa mwandiko huu kama wewe ni mtoto wa kike, basi kitandani utakuwa MGUMU sana kama unakula kokoto...
Vijana wanasema HUNYUMBULIKI.😂🤣
 
Muandiko una uanaume fulani, sasa sijui ni dume unazingua watu au ni gay umekuja kivingine.

Kwa mwandiko huu kama wewe ni mtoto wa kike, basi kitandani utakuwa MGUMU sana kama unakula kokoto...
Vijana wanasema HUNYUMBULIKI.[emoji23][emoji1787]

Hivi mnawezaje kutofautisha jinsia ya mtu kwa kuangalia muandiko wake, nip nashangaa tu comment weng mnasema ni dume
 
We ni shoga? Maana naona muandiko wako kama wa kiume flan alaf unarudi tena kuwa wa kike kidogo kwa mbali au we ni shemale?
 
Hivi mnawezaje kutofautisha jinsia ya mtu kwa kuangalia muandiko wake, nip nashangaa tu comment weng mnasema ni dume
Ngumu kukuelezea kwa comments Moja kwa sababu hiki kitu nimekisomea darasani kwa miaka 7 hivi.
Nimesoma cuba miaka miwili
Russia miaka mi3
Israel miaka 2.😂🤣

Ila we jua tu huu mwandiko una uanaume fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…