Nimempa tunda ‘mubaba’, sasa yamenikuta

Nimempa tunda ‘mubaba’, sasa yamenikuta

Shida ya singo maza wanafanana tabia, Ubinafs, njaa na ugawaji.
Alafu ni omba omba balaa na wanaanzaga na nikopeshe, ukimpa halipi anakuwekea mazingira umlambe na 90% ya single mother hawa omba omba wanaliwa kiboga test utakuja kuleta mrejesho!

Mwanamke anayejieshimu na kulea watoto peke yake na unakuta ni mpambanaji haswa ni yule tu aliyefiwa na mume wake (mjane)
 
Sahih, sababu pekee ya kumfanya mwanamke alee watoto peke yake ni kufiwa tu nje ya hapo ni Usimbe.
 
Back
Top Bottom