Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Kama amekuoa yeye sawa ondoka tu, ila kama ni mke wako basi mwambie aondoke yeye utangaze ndoa na housgirl.

Halafu kama anakunyima tunda wewe endelea kula huyo mfanyakazi wenu. Wajawazito ni watemu sijapata kuona
Upumbafu huu utaisha kweli
 
Watu wanatoa ushauri wa kijinga sana. Kwanza hapo haujatenda kosa wala huja dhambi. Wanawake ni wengi wanahitaji wanaume. Ulichokifanya ni kitendo cha kupongezwa. Mkeo ni mjinga na mpumbavu sana tena hana akili na hana hofu ya Mungu. Hivi mkiachana atakayekuwa anaenda kusali kanisani kuomba mwenza si ni yeye, hata ikitokea umekufa mkeo ataonewa huruma hata Mungu alisema tuwajalo wajane. Kwa ufupi wewe mwanaume una muhimu sana ktk familia. Kama anataka hivyo wewe timka na house girl kapange anza upya, atakuja kukuomba msamaha.
 
MPWAYUNGU village njooo hukuuuu,watu wako wanauana huku
 
Bado house girl nae hajafungua kesi ya ubakaji.
 
Fanya kama anavyotaka ukaanze upya na mke mdogo.. Hapo hakuna mapenzi tena na ukizidi kung'ang'ania yanaweza kukupata makubwa zaidi
 
Hutakiwi kuchomoka ila unatakiwa kuchomekwa.
 
Uzi ufungwe
 
Ukome kama siku nyingine kondom haikutoshi mwanga nje ,nayo ni njia ya uzazi wa mpango
 
Yaani wewe huna tofauti na Ngoswe na Mazoea(huyo beki 3) maana serikali imekuajiri na inakulipa mshahara kwa kutumia kodi zetu lakini badala ya kutufundishia watoto wetu unapokea mshahara wa bure huku muda unaotakiwa kuwa kwenye eneo lako la kazi unaenda kufanya uzinzi tena na beki 3. Aibu. Ningekuwa mimi ndio wife ningekukata hicho kibamia kisha nakufukuza bila kwenda hata mahakamani. Famasiala kweli wewe.
 
Kama we ni muislamu mbadilishie kesi wewe tangaza ndoa ya mke wa pili ili yeye aende mahakamani kuomba talaka......na lingine kimahaka hukumu ya kuzini mwanandoa sio kufukuza mwanaume ni fine isio zidi 50,000 we komaa nae tunga sababb kwanini ulipita baki tatu, sema alikua anakunyima unyumba na unawasisi nae kazini ndo maana umeamua kuoa mke wa pili, kama hawezi kuvumili uke weza akupishe tu.
 
Halafu sasa ukute hako kabinti bado katoto underage masikini. Sijui kataenda wapi.

Dhambi zingine nzito sana!
Harafu baadae maskini wanakuja kukejeliwa hapa single mama huku mtu mzima na ufahamu wake kaharibu future ya huyu mtoto sidhani huyu binti kama Ana miaka 18, hakika wanaume mna roho mbaya sana imagine ndo binti yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…