Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Kwa hiyo umekuja kutuomba radhi au tukushauri?
 
Itakuwa alikutawala sana Huyo mwanamke wako!

Hata ndugu watashangaa Mwanaume mzima kufukuzwa na mkewe ndani ya nyumba !

Lakini yanatokea sana tu na siku hizi kasi imeongezeka ya wanawake kuwafukuza wanaume zao kwa visingizio mbalimbali.

Hamuoni haya hata ndugu zake watajua ndugu yao kumbe alikuwa Anaya waliwao na mkewe.
 
Sasa Mzeee mwenzangu nisikilize:Tatizo ni mimba kwa house girl,Muondoe hapo mpeleke kwa dada wa mbalii unaemuamini,Akifika huko utajua mtafanyaje ila huku home usiseme chochote,yakipita masaa 24 katoeni taarifa kituo cha polisi.

Anza kurekebisha home sasa na mama watoto. Sababu ndio shida yako unamtaka yeye na watoto wako.

Mwambie mama huyu dada alilipoka tu si unaona kakimbia. ile taarifa ya polisi itaitumia mahakamani kama wife bado anachachamaa.

Mambo yakienda sawa hakikisha bint anarudi kwao na umuhudumie mpaka akae sawa ikiwezekana mpe mtaji bila yeye kujua ili asihangaike.

Nilikushauri hapo juu bado tu hujaelewa
 
Mbona makasiriko si umeambiwa hausi gelo alikuwa anamtega kwani kasema amembaka? Hapo hajaharibu maisha ya house girl Bali kaharibu familia yake kwasababu house girl alikuwa kwenye mission na mission yake amemaliza Kwa mafanikio kwasababu amepanda cheo kutoka kwenye house girl kwenda kwenye mzazi mwenzake hapo hata treatment inakuwa tofauti na Kwa hatua hiyo house girl atasikilizwa kokote anakoenda mambo yakienda tofauti
Kwaiyo kapanda cheo😀😀😀
 
Kwaiyo kapanda cheo😀😀😀
Ndio Kwa hausi gelo kapanda cheo, asingekuwa anataka asingeweka mitego, kwake aliweka mtego na mtego ukanasa Sasa anafurahia mavuno, shughuli iko kwa aliyenaswa
 
Ndio Kwa hausi gelo kapanda cheo, asingekuwa anataka asingeweka mitego, kwake aliweka mtego na mtego ukanasa Sasa anafurahia mavuno, shughuli iko kwa aliyenaswa
Lakin hatujamsikia hausi gelo labda nae alitegwa😀😀
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Ungeuliza kwanza kabla ya kufanya ulivyofanya,si ulijiona mjanja eeh? baada ya mambo kukusanukia unakuja unakimbia kuuliza hapa,hujui watu wako bize wanaumiza vichwa na sakata la bandari?
 
Wachafu sana
Ndio hadi hausgeli Jamani? Kwa huu wivu wangu hausgirl ningemlamba makofi kwanza
Kwani house girl cyo mwanamke? Hana uchi, kwa taarifa yako house girl anaweza kuwa mzuri na mtamu kuliko hata mke wa ndani.
 
Ondoka mshenzi mkubwa wewe...fungasha kabisa kumbaf
 
Kwani house girl cyo mwanamke? Hana uchi, kwa taarifa yako house girl anaweza kuwa mzuri na mtamu kuliko hata mke wa ndani.
Tatizo Wanawake wanaojifanya matawi ya juu huzani pia kua K zao ni tamu sana kuliko za Wanawake wa hali ya chini mfano ma back tatu! Wakati kusema ukweli sungura tope ni mtamu sana kuliko Kuku bloila wa supermarket!!
 
Back
Top Bottom