Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Pole sana
 
Tulipowaambia kuwa hakuna bekitatu tasa mkawa wabishi

Sasa ushauri mpandishe cheo mkeo awe mke mkubwa
 
Uwezo wa akili wa baazi ya binadamu unazidi kupungua siku badala ya siku hiv ka in shu kadogo kama hako unashindwa kukasolve kweli kwahiyo unamuogopa mke wako ama wenzio tuna wake 3 na wote wana watoto na malaya kibao kitaa +bar ww hako tu tumbo joto hufai kuwa mwanaume ww mbafu
 
Sasa mimba tu nayeye anakasirika

Vitu vidogo hivyo



Wanawake wengi waloolewa wanahitaji kupata elimu ya mahusiano ya kisaikolojia ili kukabiliana na changamoto zinapotokea.

Wengi ni wabinafsi sana kwa sababu ya mapokeo na ujinga mwingi.
 
Kwa nilivyoelewa mke unyumba hatowi baada ya kujua hicho kilichotokea.

Hata mie nisingempa kwa kweli kwani kumpa mimba mdada wa kazi anayetulelea watoto si jambo dogo eti.
Unapomnyima unataka akampe mwingine mimba sio?

Kumnyima ndio suluhisho Mwanayanga mwenzangu?
 
Unapomnyima unataka akampe mwingine mimba sio?

Kumnyima ndio suluhisho Mwanayanga mwenzangu?
Aah! Vitu vingine vinakera na kuudhi eti MwanaYanga mwenzangu.

Hapana sio suluhisho.
 
Anza na dna ya watoto
 
Yaani huyo mwanamke anakubali Yaya awe tishio kiasi cha kutaka kuvunja ndoa yake?

Wanawake wanahitaji mafundisho ya kisaikolojia ya mahusiano.

Isipokuwa wanawake wengi siku hizi ukute hapo kapiga hesabu ya kutaka amiliki hiyo Nyumba ndio maana anakutimua.

Na kimsingi huyo hakupendi alikuwa anatafuta sababu tu sasa kaipata anakutimua uondoke abaki na nyumba.

Siku hizi wanawake wengi wanapigia hesabu mali tu wala sio upendo wala nini.
 
Vunga vunga usiondoke maana ni kweli mmejenga wote ila Chakufanya Tafuta Kaka wa Kazi hapo Nyumbani. Huyo Dada Nenda mpangishie. Simple
 
Naona wife anaweza kuwa yupo sawa, nenda na house girl, jenga ili ulee kote kuwili! 😄
 
Mabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
Mbona makasiriko si umeambiwa hausi gelo alikuwa anamtega kwani kasema amembaka? Hapo hajaharibu maisha ya house girl Bali kaharibu familia yake kwasababu house girl alikuwa kwenye mission na mission yake amemaliza Kwa mafanikio kwasababu amepanda cheo kutoka kwenye house girl kwenda kwenye mzazi mwenzake hapo hata treatment inakuwa tofauti na Kwa hatua hiyo house girl atasikilizwa kokote anakoenda mambo yakienda tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…