Nimempa ujauzito mgumba

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Kichwa cha habari chahusika,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ yani nakimbiza 40 Inshaalah.

Nilikuwa na rafiki yangu wa kike tulikuwa kama dada na kaka tuliwahi kufanya kazi office moja by then yeye kanizidi kidogo ana 40+ aliolewa miaka kumi na kitu iliyopita but mwaka huu mwezi wa pili/ February mumewe alimwacha kwa kisingizio kuwa hazai!
Na walishahangaika sana kwa madaktari bingwa na waganga nguli sana but hawakuambulia chochote

Wahenga walisema "Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki" nikaendelea kumpa moyo kuwa asijali Mungu yu pamoja naye but toka aachike nilikuwa naye karibu sana kumsaidia procedures za kugawa mali kimahakama.

Weekend moja kanipigia simu kuwa anaumwa kama naweza nimtembelee kufika kwake nilimkuta very bored and frustreted nikambembeleza kumbe hakuwa anaumwa bali upweke tu nikajikuta nakula uroda na huyu rafiki yangu mpendwa ambaye mda wote nimekuwa nikumuita dada na yeye akiniita kaka.

Baada ya mwezi mmoja si aanze kuumwa mara hiki mara kile Dr akamshauri kucheki na ujauzito kakutwa ni pregnant na sasa ni mwezi wa tatu.
Toka apevuke kafanya sex na wanaume wengi tu including mume wake but hajawahi conceive najiuliza ni nini kimefanya mpaka aconceive kwangu?


Wajuzi hebu nisaidieni hii imekaaje?
 
Mungua amekuonesha, huyo ndo mkeo. Oa kabisa.
 
Hatimaye mfupa uliowashida fisi wewe umeuweza.

Hongera saana mkuu. Aidha umetuokoa wanaume wenzio maana kutwa kulalamikiwa hatuna nguvu.

Aidha pia nikushauri uweke bandiko la kusaidia wadada wote walioteseka kutafuta watoto wakakosa.

Infwakti, nguvu unazo zimejidhihirisha, ari nayo naona sio haba kwa hili utawasaidia.

Bezikale naona wino wangu unaishilia wacha nimpigie pasi Mwanyasi naye aendeleze.

NB: upo kwenye rait traki tembea kifua mbere.

Laasti bati noti listii Asprin [ule mpango wa kuwa father chrismas usiusitishe ] mwambie Sky Eclat tupo na klaree tunakuja.
 
Kuna rafiki angu amempa mimba msichana aliyeishi na jamaa akawa anashindwa kumpa ujauzito.
 
Ulimpiga vingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…