Nimempa ujauzito mgumba

Nimempa ujauzito mgumba

Itakua ana k yake ina vyumba vyumba ...mijusi ilkua ina ishia kwenye kona ..yako ika fanikiwa kufika mlango wa nyuma
udakutz_-20181221-0001.jpeg
 
Wema anakuhitaji. Okoa jahazi la rd sweetheart. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mbona kawaida tu, sema majira ya mataifa ndiyo yalikuwa yamewadia. Majira yamewadia na yakakukuta katika nafasi nzuri ya kutekeleza jambo hilo

Huyo mwanamke alikuwa na matatizo huko nyuma, na kupata huo ujauzito ni juhudi na matokeo ya mumewe kuangaika nae kumtafutia matibabu ya hapa na pale.

Sema tu amekuja kupona hilo tatizo wakati ambapo yeye na mumewe hawako pamoja.

Hayo majira yamgempata mwanaume yeyote aliyekamilika, mbona angemtia mimba tu kama wewe ulivyomtia hiyo mimba
 
Mkuu nawewe hii ka si chai basi tenaa!
First date na ukapiga kavuuuuuu???![emoji1436]‍♂️
 
Mtoto atakayezaliwa atakuwa special
 
Acha mungu aitwe Mungu ameonesha yule baba hakutenda haki
Kuna imani kuwa mgumba ni mwanamke, kwa kesi hii na nyingi nyingine, wagumba ni wanaume, na hao ndio wanatuletea ushoga mjini, na wapo wengi tuu
 
Umepiga show ya kueleweka kijana...hongera.....au sometime labda maswala ya sperm count
 
Kuna imani kuwa mgumba ni mwanamke, kwa kesi hii na nyingi nyingine, wagumba ni wanaume, na hao ndio wanatuletea ushoga mjini, na wapo wengi tuu
Kweli kabisa na dhana nyingine ni kuzaa watoto wa jinsi Fulani tu wanasingizia wanawake ila shida IPO kwa baba
 
Nenda kwa yule dada anajiita 'Komando' baada ya miezi 6 utakua sio mwezetu.
 
Kichwa cha habari chahusika,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ yani nakimbiza 40 Inshaalah.

Nilikuwa na rafiki yangu wa kike tulikuwa kama dada na kaka tuliwahi kufanya kazi office moja by then yeye kanizidi kidogo ana 40+ aliolewa miaka kumi na kitu iliyopita but mwaka huu mwezi wa pili/ February mumewe alimwacha kwa kisingizio kuwa hazai!
Na walishahangaika sana kwa madaktari bingwa na waganga nguli sana but hawakuambulia chochote

Wahenga walisema "Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki" nikaendelea kumpa moyo kuwa asijali Mungu yu pamoja naye but toka aachike nilikuwa naye karibu sana kumsaidia procedures za kugawa mali kimahakama.

Weekend moja kanipigia simu kuwa anaumwa kama naweza nimtembelee kufika kwake nilimkuta very bored and frustreted nikambembeleza kumbe hakuwa anaumwa bali upweke tu nikajikuta nakula uroda na huyu rafiki yangu mpendwa ambaye mda wote nimekuwa nikumuita dada na yeye akiniita kaka.

Baada ya mwezi mmoja si aanze kuumwa mara hiki mara kile Dr akamshauri kucheki na ujauzito kakutwa ni pregnant na sasa ni mwezi wa tatu.
Toka apevuke kafanya sex na wanaume wengi tu including mume wake but hajawahi conceive najiuliza ni nini kimefanya mpaka aconceive kwangu?


Wajuzi hebu nisaidieni hii imekaaje?
Wewe ni dume la Mbegu hongera sana mengine utajaza mwenyewe
 
Back
Top Bottom