LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
Yani furaha yake haielezekiShana Chuma Tuambie kwanza mwenyewe anajisikiaje mpaka dakika hii.
I'm not a national giverWema anakuhitaji. Okoa jahazi la rd sweetheart. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yani furaha yake haielezeki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umewaza mbaliSasa jiandae maana humu kuna wagumba wengi tu. Mpaka sasa nafikiri pm tayari kumejaa!!
[emoji1787][emoji1787] nilivyosoma title ya huu uzi, huo wimbo ukaja kichwaniMgumba sasa amezaa.... mgumba sasa amezaa... tena kwa fujo mapacha waatatu, wawili warembo kama mama yao na mmoja dume sura ya baba yake kopiraiti eeeeeh. Dah nimekumbuka tu huo wimbo
Kuna imani kuwa mgumba ni mwanamke, kwa kesi hii na nyingi nyingine, wagumba ni wanaume, na hao ndio wanatuletea ushoga mjini, na wapo wengi tuuAcha mungu aitwe Mungu ameonesha yule baba hakutenda haki
ππππ[emoji1787][emoji1787] nilivyosoma title ya huu uzi, huo wimbo ukaja kichwani
Kweli kabisa na dhana nyingine ni kuzaa watoto wa jinsi Fulani tu wanasingizia wanawake ila shida IPO kwa babaKuna imani kuwa mgumba ni mwanamke, kwa kesi hii na nyingi nyingine, wagumba ni wanaume, na hao ndio wanatuletea ushoga mjini, na wapo wengi tuu
Wewe ni dume la Mbegu hongera sana mengine utajaza mwenyeweKichwa cha habari chahusika,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ yani nakimbiza 40 Inshaalah.
Nilikuwa na rafiki yangu wa kike tulikuwa kama dada na kaka tuliwahi kufanya kazi office moja by then yeye kanizidi kidogo ana 40+ aliolewa miaka kumi na kitu iliyopita but mwaka huu mwezi wa pili/ February mumewe alimwacha kwa kisingizio kuwa hazai!
Na walishahangaika sana kwa madaktari bingwa na waganga nguli sana but hawakuambulia chochote
Wahenga walisema "Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki" nikaendelea kumpa moyo kuwa asijali Mungu yu pamoja naye but toka aachike nilikuwa naye karibu sana kumsaidia procedures za kugawa mali kimahakama.
Weekend moja kanipigia simu kuwa anaumwa kama naweza nimtembelee kufika kwake nilimkuta very bored and frustreted nikambembeleza kumbe hakuwa anaumwa bali upweke tu nikajikuta nakula uroda na huyu rafiki yangu mpendwa ambaye mda wote nimekuwa nikumuita dada na yeye akiniita kaka.
Baada ya mwezi mmoja si aanze kuumwa mara hiki mara kile Dr akamshauri kucheki na ujauzito kakutwa ni pregnant na sasa ni mwezi wa tatu.
Toka apevuke kafanya sex na wanaume wengi tu including mume wake but hajawahi conceive najiuliza ni nini kimefanya mpaka aconceive kwangu?
Wajuzi hebu nisaidieni hii imekaaje?