Nimempa ujauzito mke wa mtu

Taarifa tunazo,jamaa hakushitaki tena,anasema lazima umbebe,jiandae kumbeba
 
Habari zenu wanajukwaa.
Sakata hili limenitokea karibuni kibaya zaidi mumewe akajua mimba ni yangu...Sasa jamaa ananitafuta na kutaka kunishtaki, je nina mashtaka ya kujibu
we subiri WITI yako iliwe bhaassiiii
 
Hapo kama hukubaka, na huyo m/ke si under 18 basi huna kosa lolote kisheria...
 
Kabla ya kufanya ulifikiri nn? Hayo ndo matokeo. Yapige na yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…