Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Tishajua dhumuni la tangazo lako.

Lilipie tangazo alafu wadau kuweni makini iko kenge inaenda lizwa chap chap
 
Kama wewe kaka mtu umeshindwa kumshauri kitu kitakacho msaidia maishani mwake, sisi wana JF tutamsaidiaje haswa ukizingatia tuko mtandaoni, si ataona tunamdharau?
 
nionganishe mimi niwenakupa laki 2 kila mwezi
 
Hapo ndo pa kupiga pini sasa,mwambie ashakuwa mwanaume akahamie kwako
Umeshafanya sehemu yako,ni mda sasa aamue yanayomuhusu achana naye
Shida ya hiyo mbuzi haijasota hata kidogo ndo maana inakataa kazi
 
Jiji la dar linazidi kuharibu vijana, ila huyo kijana anaonyesha hajitambui kabisa , ana akili za kupelekwesha, japo ana GPA ya 4 ya kukariri.

Watafute hata marafiki zake wa mshauri
 
Ukipata nafasi ya mechanical engineer,nishtue Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…