Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matangazo ni bureTishajua dhumuni la tangazo lako.
Lilipie tangazo alafu wadau kuweni makini iko kenge inaenda lizwa chap chap
Kama wewe kaka mtu umeshindwa kumshauri kitu kitakacho msaidia maishani mwake, sisi wana JF tutamsaidiaje haswa ukizingatia tuko mtandaoni, si ataona tunamdharau?Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Umekoment ujinga sana.Dah sema Sina sifa za ishu wanazosoma mzumbe, mkuu.
Sawa mkuu nmekuelewa.Umekoment ujinga sana.
Sasa uliomba kwanini wakati hauna sifa, au simply ukoment tu
nionganishe mimi niwenakupa laki 2 kila mweziWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Food science - SUA.Kasomea nini?
Jiji la dar linazidi kuharibu vijana, ila huyo kijana anaonyesha hajitambui kabisa , ana akili za kupelekwesha, japo ana GPA ya 4 ya kukariri.Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Ukipata nafasi ya mechanical engineer,nishtue Mkuu.Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Jf dk mbili mtu ana bmw dk mbili anafanya kazi kwa bakhressa 24hrs kwa 2000shs 😆Mara hii jf mmeshakuwa walalahoi?
Full njaa[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahahaha humu kijiweni tu[emoji38]Jf dk mbili mtu ana bmw dk mbili anafanya kazi kwa bakhressa 24hrs kwa 2000shs [emoji38]
Hio pesa ndogo 😁Kwaiyo unataka kusemaje kwa mfano
Kosher Mr 💰Hio pesa ndogo 😁