Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Oya
M-black list kwenye memory card ya ubongo wako!
Undugu sio ufala!

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyema umetimiza wajibu ongea nae huyo dogo mwambie arudi nyumban kwao akawasaidie wazee wake kazi.Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Muulize buji buji anawajua watu alikutana nao.Mara hii jf mmeshakuwa walalahoi?
Full njaa[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwanza hongera sana kwa Moyo wako huo, usichoke wala mpuuzi mmoja asikubadilisheWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Nimfanyaje? Mbona uko unaigiza kutoka mbeya kabisa etiAtoke kwako over
Nipo Mimi mkuu ni muaminifu sanaWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Tuliza akili, haufanyi kazi na AI bali huyo ni mwanadamu mwingine mwenye utashi kamili.So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Mwmbie hiyo GPA kuna wenzake tulipata zaidi ya 4.5 hapo hapo....hivyo isimzuzue.Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
[emoji1787][emoji1787]Mfundishe ku bet
Hii ni fursa mkuu,naomba hii nafasi,mimi niko MbeyaWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.