Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Au hiyo 500 isiyo na makato inamzuzua?

1.5
Kama alisoma na mkopo
Wanalamba almost laki 7 za statutory deduction.

Au ameona inayobaki ni sawa na ya muhindi [emoji23]
Tena halipi bills kama kodi ya nyumba etc huko mbeya anaenda kujitegemea fully, kadogo kamefikiria mbali
 
Huyo umalaya unamsumbua. Anaogopa kumwacha mpenzi wake. Ana akili ndogo za kuona mbali. Siku kibarua kikiota nyasi na mpenzi wake amwambie kuwa ni mjamzito atakuomba tena umpiganie. Hapo ndipo unatakiwa umfukuze kama mbwa akili zimrudie
Kaka umepiga kwenye mshono (i mean upo sahihi kwa asilimia nyingi sana),madogo wakikoleaga kwenye penzi hawafikirii future kabisa
 
What a waste mamaeee wanabia sana
Chamsingi nipe connection mm tutayajenga vzr tu ikitokea huko mbelen nyingine
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Huyo dogo bado yupo kwako mpaka saivi?
 
Niunganishe na huyo dogo nimfire bila kilainshi, choko mmoja huyo.
 
Kuna lidogo letu moja lilimaliza degree ya mambo ya petrol dada yetu m moja akalitafutia kazi wizara ya nishati,lilkataa kwenda .Hata simu yangu halikupokea. Uzuri linajitegemea.Huyo wa kwako mtimue akapange.Akayajue maisha mubashara.
 
Mimi tu hapa na kumaliza degree yangu natamani nipate hata walau kazi ya Laki Tano Mungu hajanijaalia kuipata zaid ya kujikita kazi ambazo si rasmi kwa wahindi kama kibarua. Huyo ndugu amefanya nipate uchungu sana.
 
U

Uo ugali unautafutia pande zip mkuu tuungane ?
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Kama hio nafasi bado Ipo naomba Mimi nitokea nilipo niende uko
 
Since huwezi mlazimisha kwenda Mbeya, hiyo ni kama imeisha Kwa kukuvunjia heshima mbele ya jamaa. Dawa yake Mwambie unampa miezi miwili ajitegemee na Kisha unamkatia mrija Kwa wachina, akirudi kwako unamwambia kumejaa hakuna nafasi arudi bush tu Kwa wazazi wake.
 
Back
Top Bottom