Kuna nyumba yangu moja, eneo la mbezi niliwaachia madalali wanitaftie mpangaji. nyumba nzima nilikuwa napangisha 1.2mil kwa mwezi!
baada ya kukosa mpangaji kwa mda mrefu, nikiwa safarini nilipokea simu kutoka kwa dalali kwamba kapatikana mpangaji anaefanya kazi ya kuwekezaji, yupo tayari kutoa hata 1.5mil kwa mwezi>Analipia kodi ya mwaka mzima!
sikuwa na hiyana! nikawaruhusu wampangishe na pesa yangu wakanitilia kwenye Akaunti!
Baada ya miezi kadhaa kupita nilipigiwa simu na mjumbe wa eneo hilo, akinitaarifu kwamba kwenye nyumba yangu wapangaji wanaoishi mle siyo watu wazuri, sikumuelewa! akasema nikipata mda nifike;
baada ya siku kadhaa nilitenga siku moja nikafika kufahamiana na huyo mpangaji muwekezaji!
Nilipofika, walinifungulia nikaingia, lakini aliyekuja kunifungilia alinishitua na mwendo wake, kwanza alikuwa kajifungia taulo kwapani, pia mwendo wake ulinipa mashaka, kilichonishangaza zaidi ni pozi la kukaa,
tulikaa kwenye ngazi kibarazani lakini ukaaji wake alikaa pembeni huku mikono yake kaiweka katikati ya mapaja yake! macho yake sikuyaelewa! nilijitambulisha tukafahamuana nikaaga nikaondoka,;
wakati nikijiandaa kutoka kupitia dirishani nilimuona mwingine sebuleni kajibinua akimwambia mwenzake mbona mgeni haiingii ndani??!
Nilipotoka nje, nilikutana na mjumbe, akaniambia anayoyaona na kuniambia nyumba yangu imekuwa gumzo! inafuga mashoga! kwahiyo nitafte ufumbuzi!
baada ya hapo niliwapa taarifa hao wapangaji baada ya mkataba wao kuisha nitahitaji wanipishe ili kufanya maboresho na ukarabati, cha ajabu jamaa wabishi hawataki kuhama, na wapo tayari kuongeza pesa nyingine!
nimetumia kila njia ya kuwaondoa lakini niwabishi harafu wanajitia wanajua haki za wapangaji!
Je? nifanyeje ili niwaondoe hawa machoko!!! maana nimewatishia kupandisha kodi wamesema wako tayari kulipa, nikawaambia nataka nifanye marekebisho wakaniambia Nirekebishe wakiwa humohumo!! Hawatoki!!
Nilifikilia kuwaita dawasco na tanesco ili wakate maji na Umeme! lakini nimeona napo ni usumbufu tu!!
je nifanyeje!!?
View attachment 1052841