Nimempangisha shoga bila kujua; na hataki kuhama

hujui, Mimi nawajibika kiimani kwa ushenzi wao kuufanyia ndani mwangu
 
Kaezue paa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujui, Mimi nawajibika kiimani kwa ushenzi wao kuufanyia ndani mwangu
hiyo nayo point...na wakitoka tu,hiyo nyumba ifanyie maombi heavy kuondoa hayo maroho na mapepo machafu.
 
hiyo nayo point...na wakitoka tu,hiyo nyumba ifanyie maombi heavy kuondoa hayo maroho na mapepo machafu.
ninachowaza kwani jeuri ya pesa nani anawapa pesa zote hizi
 
hii kama sio biscuit basi wape notice ya kuhama sababu unataka hamia kwenye nyumba yako au pandisha kodi mara mbili yake


angalia isije ikawa porn house[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka tujue tu una hako kakibanda kako sasa umetafuta namna gani utafanya tukaone hapa jf...halafu nina mashaka wewe ndio shoga mwenyewe kwahiyo unatangaza biashara yako ili tuulize nyumba iko wapi tuje kukugegeda....blaza wewe sema tu tuje...weka namba ya simu au tukaribishe dm tuje kujilie minyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Wewe huwezi piga Picha ya Nyumba ya Shemeji yako ukasema 'Mjengo wako'

Kweli Kuna watu wanaitwa Binadamu kwa sababu ya Umbo sio akili
Rudi kwenye hoja hayo mengine yatakuumiza roho Bure!!
 
U can't be serious bro hv jamii forum imepatwa na nn? Kwamba mleta mada awezi kuwa na nyumba ama una manisha nn? na kwann basi usipinge kwa lugha ya staa kidogo mpaka umtukane hvyo utafikili thread kakuanzishia wewe.
 
Piga tripu za mara kwa mara hapo home halafu ukifika pale jifanye ume-fall ile mbaya kwa hilo choko!!! Tena uwe unapokea simu za uzushi ambazo maongezi yake yawe kama "Hupendeki James, yaani nakupa kila kitu halafu unaleta mabwana kwenye nyumba yangu mwenyewe, it's over, and don't ever call me again!!

Basha la hilo choko likisikia hivyo lazima linuse danger ya kupokonywa zigo lake!!! Kitakachofuata hapo na magovi ya wivu na tuhuma dhid ya baba mwenye nyumba, and am telling you, ndani ya mwezi mmoja jamaa anamkimbiza "demu" ili usije ukamla!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…