Nimempangisha shoga bila kujua; na hataki kuhama

Kama kweli ni nyumba yako na mkataba umeisha kuwatimua rahisi sana
 
Kwani Wewe huwezi piga Picha ya Nyumba ya Shemeji yako ukasema 'Mjengo wako'

Kweli Kuna watu wanaitwa Binadamu kwa sababu ya Umbo sio akili
ni ipi sababu hasa ya kukufanya utamke kwamba si mjengo wake !?na uwe na uhakika wakati jama kisha tuambia kama ni nyumba yake!?inamana jami forum hamna wanamiliki mijengo!?acha fikra za kimaskini boss !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba umeisha wana kero mtaa mzima,kusanya mjumbe na baadhi ya wapangaji polisiiiiiiiii watakuja tolewa vizuri tu

Kama una mke mpe hio kazi anaenda wafungia mtaa hapo watatoka tu
njia ipi rahisi
 
Nyie kwenu uthibitisho wa Mtu kumiliki Nyumba Ni Picha ?
 
Mkataba umeisha wana kero mtaa mzima,kusanya mjumbe na baadhi ya wapangaji polisiiiiiiiii watakuja tolewa vizuri tu

Kama una mke mpe hio kazi anaenda wafungia mtaa hapo watatoka tu
na kigoma cha kukodi! hahahah umenifurahisha sana
 
Mkuu hii ilitakiwa pia uweke kwenye mkataba, kuwa mashoga hataruhusiwa.

Waitie polisi.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Yaani wewe utangaze nyumba yako inafuga mashoga na uweke picha ili watu wanayoijua wafahamu, then what? Unless ni mwongo. Ni kama uje useme dada yako kabakwa halafu uweke picha yake?
sasa mtaa mzima wanajua nifiche nini! harafu nyumba iko ndani ya fensi! ...haya niambie wewe umeielewa?
 
Nimekaa kando na kuwaza kwa upana kidogo, isijekua hii thread imeandikwa kwa msamiati kuhusu jamaa aliyechukuliwa himaya yake akaamua kuwa mzalendo..[emoji848][emoji848][emoji848]....!!!?
Sina uhakika, ni kuhisi tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna servant quarter nipangishe mimi baada ya wiki mbili wote watakua wamehama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…