Nimempata Upendo Peneza

Nimempata Upendo Peneza

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Joined
Nov 21, 2009
Posts
2,970
Reaction score
866
Wiki chache zilizopita nilijitokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.

Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.
 
Gud at least umetupa feed back,but ni kwajili ya nn ulimtafuta?kama si lazima kujua its ok.
 
Gender Sensitive ni Mgombea Ubunge Mtarajiwa
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

basi, tushajua kazi yenyewe!!
 
safi sana GS umefanya vizuri kurudi na Feedback jukwaani ...Mnafanya operation ya Zinduka ??😉
 
Mie sifai kwa shughuli hiyo GS?? Au kuna vigezo maalum??
 
Asante kwa kutupa feedback, tunasubiri kujua kuhusu hiyo kazi mnayotaka kufanya
 
Bwana awatangulie katika shughuli yenu,na akuepushe HASA WEWE na roho ya kubadili nia iliyokusudiwa!
 
...Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu.

Good news. Lakini mkuu ingawa inasemwa wakubwa hawaulizwi, ni vyema kugusia malengo ya rendez-vous hiyo na binti celebrity ili angalau tu kufuta hiyo tuhuma kwenye red. Wengine humu posting zao zinaonyesha bado hawaamini kama kuna usalama hapo.
icon10.gif
 
Asante sana FL1.Hatuko kwenye operesheni zinduka tuko kwenye operesheni lala salama.

"Operesheni" tena Mzee?. hii tata kweli!..ndo hiyo shuhuli uliyokuwa ukimtafutia?

hebu weka wazi bana manake bado kiwingi kimetawala hapa bana !.
 
Hongera GS nawatakia kila la heri katika mipango yenu.
 
"Operesheni" tena Mzee?. hii tata kweli!..ndo hiyo shuhuli uliyokuwa ukimtafutia?

hebu weka wazi bana manake bado kiwingi kimetawala hapa bana !.

Hapana ni kazi maalum Mkuu.Usiogope..Yuko salama 100%
 
Thanks Gs.. But what is she doin currently? Yuko chuo?
 
Thanks Gs.. But what is she doin currently? Yuko chuo?

Asante na wewe kwa kushukuru.Yes,Upendo yuko chuo anachukua Sociology.Ameniambia niwaambie kuwa pia na yeye ni memba wa JF lakini hatumii jina lake halisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom