Nimempenda Dada kabila Mgogo ili nimuoe ila

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Nimedokezwa tabia za hili kabila ambazo ni

Ustarabu kwao sifuri
Nitegemee wageni wajao bila taharifa (Kuhamia)
Nitegemee kuwalea wakwe zangu, shemeji na kadhalika
Usafi kwao ni zile nguo wazivaazo kwa siku hiyo.

Ndugu zangu, je kuna ka ukweli kokote?
 
Hujampenda ungempenda ungempenda kama alivyo.
Jichunguze tena kama umependa kweli maana kumbuka ukipenda unakufa na sikio la kufa halisikii dawa.
 
Nenda field ukafanye reserch mwenyewe. Huna tofauti na Magamba wanaokaa mezani kusubiri wazungu waandike mikataba ya madini wao kazi kusaini tu tena hadi peni wanaazima
 
Hujampenda ungempenda ungempenda kama alivyo.
Jichunguze tena kama umependa kweli maana kumbuka ukipenda unakufa na sikio la kufa halisikii dawa.

Nampenda! Tatizo usipo sikia la mkuu, uvunjika guu.
 
Jiandae kufungua na Bucha ya nyama maana mashemeji zako hakika watakusaidia kwa biashara hiyo ya Nyama kwani ni magwiji
 
Ukipenda mwanamke upende na mapungufu yake

Ili nigharamike katika the rest of my life. Aya kama ya Mifuko ya jamii ninayo kutana nayo, yananitosha
 
Umempenda?? Tabia za kabila lake zinakuhusu nini? Oa anzisha serikali yako yenye sheria na taratibu unazozitaka otherwise hutaoa popote maana mpaka umpende mgogo ina maana kule kwenu hujawaona hao kina dada wa kikwenu, au na kwenyewe ni walewale?
 
Hebu fikiria kuwa Livingstone Lusinde ni shemeji yako
 
Kuhusu kuhamia ilo kweli jipange provided kama kwao choka mbaya.
 
Umempenda?? Tabia za kabila lake zinakuhusu nini? Oa anzisha serikali yako yenye sheria na taratibu unazozitaka otherwise hutaoa popote maana mpaka umpende mgogo ina maana kule kwenu hujawaona hao kina dada wa kikwenu, au na kwenyewe ni walewale?

Kwetu wazuri tena sana, ila miteremko kama mlima kitonga. Ohh Mungu nisamehe nawatusi ndugu zangu
 
nyie endeleeni tu kunisema......

mtoa mada unitake radhi, loh!
 
kwamtoro vituko haviishi, vipi na yule demu wako mwenye tatoo kwenye paja na kwenye makalio ushampiga chini/ mpaka unataka kuchukua mgogo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hamna kitu hapo maana kitamanio/utamu wote umeondolewa! Shauri yako
 
Na kile cha kati kimetolewa asa sijui utashika nini na kulamba ili upate flavour..ila kama unapenda hayo yote sio tatizooo
 
Nimedokezwa tabia za hili kabila ambazo ni

Ustarabu kwao sifuri

je wewe mstaarabu? watu wa kabila lako ni wastaarabu? na definition yako ya ustaarabu ni nini? ikoje?

Nitegemee wageni wajao bila taharifa (Kuhamia)

je katika maisha yako ya ndoa ndugu zako hawatakuja kwako? au wako ruksa wa mwenzio mzigo?
kuna kabila hapa tanzania ambalo ndugu hawaamii temporarily au permanently?

na ndugu kama hamuwataki si mnakubaliana tu? mradi wako wasije na wamwenzio wasije?

Nitegemee kuwalea wakwe zangu, shemeji na kadhalika

wewe ndugu zako hutowalea?
wazazi wako hutowalea?
kaka zako na dada zako?
au wako kulea ruksa wa mwenzio mzigo?

jinsi unavyotaka ndugu/wazazi wako wawe treated ndivyo tendea ndugu wa mwenzio...

Usafi kwao ni zile nguo wazivaazo kwa siku hiyo.

je wewe msafi?
je mpenzi wako msafi?

Ndugu zangu, je kuna ka ukweli kokote?

ndoa ni kujitoa na kukubaliana....
mwisho...
ukitaka kuoa usiwe mchoyo, mbinafsi, usimwazie mwenzio madharau....
mjudge mtu kutokana na yeye alivyo,
judge familia yake baada ya kuijua na kuisoma....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…