Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,829
wagogo wanasifa moja tu nzuri ya kupenda ni ving'ang'anizi kweli kweli akikuganda amekuganda,...ila kwa vingine hujakosea kabisaaaa kutandika kitanda kwao ni historia, ndani kutakua kuchafu mpaka kuingia na mgen aibu kama hamna hausigeli msafi hapo balaa,wanajua kujipamba nje tu,wanandugu hyo ni kweli isiyopingika...