Nimempenda Dada kabila Mgogo ili nimuoe ila

kwamtoro unaonekana huna pendo la dhati kwa binti huyo.
Kwanini unafanya generalization na kuhisi, kama una nia ya kweli
fuatilia uifahamu familia yake! Sikubaliani nawe kuwa watu wooote wa kabila moja
wanatabia za kufanana. Hata hivyo hayo mapungufu mbona yapo hata kwa makabila
mengine? Issue hapo siyo kabila! Bado tunafikiria makabila! We still have a long way to go.
 
Last edited by a moderator:
kwamtoro vituko haviishi, vipi na yule demu wako mwenye tatoo kwenye paja na kwenye makalio ushampiga chini/ mpaka unataka kuchukua mgogo?

Yule nimeshampiga chini kutokana na maoni ya wadau wengi. Sasa nimeanguka kwa mgogo nataka mkabidhi moyo wangu wote.
 
Na kile cha kati kimetolewa asa sijui utashika nini na kulamba ili upate flavour..ila kama unapenda hayo yote sio tatizooo

Nitakomaa mpaka niakikishe mwenyewe ipo au amna, la sivyo sitokubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Oa afu hamia Bukoba au Songea.

Vingenevyo utaoa kijiji.
 
yaani mkuu umenifurahisha sana na ushauri wako, nakupa like kama laki hivi.....hongera sana mkuu kwa hekima zako, hapa jamaa anatakiwa ajibu maswali uliyomuuliza...asante sana umewasilisha vema.....:A S thumbs_up:
 
ina maana wewe mawazo yako na maamuzi yako yote yanategemea watu wengine? so huna maamuzi binafsi?duh, basi ndoa kwa sasa acha kwanza endelea na starehe zako kwanza....pole sana mkuu!
Yule nimeshampiga chini kutokana na maoni ya wadau wengi. Sasa nimeanguka kwa mgogo nataka mkabidhi moyo wangu wote.
 
yaani mkuu umenifurahisha sana na ushauri wako, nakupa like kama laki hivi.....hongera sana mkuu kwa hekima zako, hapa jamaa anatakiwa ajibu maswali uliyomuuliza...asante sana umewasilisha vema.....:A S thumbs_up:

Man always right, sina cha kumjubu. Kwa upande wangu kila kitu swafii
 
jina lako kwamtoro.......najua huko dodoma kuna sehemu inatwa kwamtoro....wanatoka warangi...
niambie kama wewe ni mrangi afu nitakupa ushauri ufanyeje hapao!!!
 

Hakuna ukweli wwte, tabia mara nyingi ni inatokana na backgrown ya mtu, wagogo ni watu wastaarabu unless ulikoroge mwenyewe na ukilikoroga utalila kwa kweli, kwa usafi ni wasafi ( ingawa usafi is a personal habit ki zaidi) dont expect wageni kuhamia kwako, hawa watu wana nidhamu kwa wakwe na mashemeji zao, kuhusu kulea wakwe kama utaoa kabila lolote wenye kipato duni u should expect that, lakini kama wakwe wako vizuri utawalea kwa lipi? so kama umempenda kikweli huyo dada go ahead.
 

pole sana ndugu yangu! TABIA ZOTE HAPO JUU NI SAHIHI, IL NI Lazima uongeze na zifuatazo:

Wadada wa kigogo hawaridhiki
Wadada wa kigogo wanatamaa sana
Wadada wa kigogo hawana upendo wa kweli( wanapenda kunyenyekea sana wanapokuwa na shida ikiisha basi ujeuri mtindo mmoja)
Wadada wa kigogo hawajui kusema hapana (wanapotongozwa-ilimradi uwe na chapaa)
SOURCE:Nimebahatika kuwa na girl friend wa kigogo na uncle wangu kaoa MGOGO anateseka usiombee ndugu yangu huku mke mwenyewe mama wa nyumbani na mzee graduate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…