Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Jamani mbona majungu sana,usiku mwema wote
hahahahaha! Tuzoee tu majungu ndio mtaji. Umefanikiwa kumwambia? Tuma username yake nikusaidie. Akikuchomolea unakuja na ID mpya kama BAK alivyoshauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona majungu sana,usiku mwema wote
CPU hahahahhahaha atakuja kunipa presha hayse,hata asiponipa namba yake akisema I love u too inatosha kwangu
umeshaamka?
Jamani nimejikuta nampenda girl mmoja humu JF,kumweleza ndo ishu mana naogopa haya majina yanaweza yasiwe ya kike.
Lazima atakuwa ni Husninyo tu
Ngoja nim-text kwa mobile
Yaani nilipoona uzi wako hapa nikajiuliza Dah! why all this threads... kumbe you are seeking attention... sasa nimekupata... Hope it works out.
akininyima si nitaona JF chungu
wala usijali kutoswa,mie mbona nimetoswa na mmoja wa humuhumu.maisha yanaendelea.ila nimekoma
Husninyo kasema amechoka saa hizi, analala
Kasema kesho atakuja kusoma PM zako (Umtumie kweli)
Ila namba ya simu hakupi mpaka akujue vizuri
CPU hahahahhahaha atakuja kunipa presha hayse,hata asiponipa namba yake akisema I love u too inatosha kwangu
Unaingizana na ID mpya kupitia lile jukwaa la utambulisho.
hahahahaha! Tuzoee tu majungu ndio mtaji. Umefanikiwa kumwambia? Tuma username yake nikusaidie. Akikuchomolea unakuja na ID mpya kama BAK alivyoshauri.
umeshaamka?
kwani nilala! Ndio navuta usingizi. I luv u 2 my baby boy.
pole mkuuwala usijali kutoswa,mie mbona nimetoswa na mmoja wa humuhumu.maisha yanaendelea.ila nimekoma