Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Nimeweka mkuuWeka picha hata sisi tusi daslama tukushauri
Hiyo hiyoMtwala au Mtwara.
NtwaraMtwala au Mtwara.
Jomba unataka kuwa shemeji wa wadudu?Wakuu huyu mrembo MAMBISE mchekeshaji wa WATU BAKI nimetokea kumpenda vibaya sana.
Sura yake inanimaliza, pua yake inanitaabisha, tabasamu lake ndiyo usiseme.
Pozi lake linanichanganya mno, akiongea lafudhi yake ya kichuga huwa nahisi moyo unaelea elea hewani ukicheza tone za maneno yake.
Shepu yake nadhani hata shetani anaitamani hasa akivaa jinzi ya bluu na fulana jeupe.
Rangi yake ya asili ambayo haipaki mafuta ya kuchubua nadhani inaweza kuwa ndiyo sababu namba moja ya kuvutiwa na huyu mtoto.
Ndugu zangu mliopo daresalama vipi huyu mrembo ameolewa?
Kama hajaolewa nipeni njia za kunnasa najua nyinyi watu wa daa hamshindwi kitu.
MIMI NIPO MTWALA
KUHUSU PESA MSIJALI.View attachment 3324641
Wadudu ni wakina nani?Jomba unataka kuwa shemeji wa wadudu?
Huyu andaa roli mbili za ngamia na punda wajae kwenye tandam mahali.Wakuu huyu mrembo MAMBISE mchekeshaji wa WATU BAKI nimetokea kumpenda vibaya sana.
Sura yake inanimaliza, pua yake inanitaabisha, tabasamu lake ndiyo usiseme.
Pozi lake linanichanganya mno, akiongea lafudhi yake ya kichuga huwa nahisi moyo unaelea elea hewani ukicheza tone za maneno yake.
Shepu yake nadhani hata shetani anaitamani hasa akivaa jinzi ya bluu na fulana jeupe.
Rangi yake ya asili ambayo haipaki mafuta ya kuchubua nadhani inaweza kuwa ndiyo sababu namba moja ya kuvutiwa na huyu mtoto.
Ndugu zangu mliopo daresalama vipi huyu mrembo ameolewa?
Kama hajaolewa nipeni njia za kunnasa najua nyinyi watu wa daa hamshindwi kitu.
MIMI NIPO MTWALA
KUHUSU PESA MSIJALI.View attachment 3324641
Duh sawa mkuu, pia kwenye Sanaa yake namkubali kwa asilimia zisizozidi 60.Huyu andaa roli mbili za ngamia na punda wajae kwenye tandam mahali.
Ila kazuri black beauty sema kule kwenye sanaa na usanii ujiandae kuwa unakula na wenzako
Duh kioo changu cha jamii DIZASTA VINA, anasema ndoa ni maigizo yasiyo na hela. Nitaangalia, niegemee wapi kati ya msimamo wangu na mapenzi.Nilimsikia akisema...asingependa afike miaka 30 na hajaolewa...kwa hiyo hata sasa akitokea mtu Yuko serious...chap anaingia ndani...hope hakuwa anatania
Muulize makonda, ni watawala halali wa A townWadudu ni wakina nani?
Poa mkuu, japo mimi sio mwenyeji wa daresalama ila nitaangalia namna ya kufunga ziara kwa ajili yake.Nenda pale vijana real Estate, tegeta jengo la azania, utamkuta kajaa tele.
Sawa mkuu si ni binadamu tu lakini wamejipa tu hilo jina la wadudu?Muulize makonda, ni watawala halai wa A town
Mmmh, wanaakili za ajabu sanaSawa mkuu si ni binadamu tu lakini wamejipa tu hilo jina la wadudu?
Kazi kwako, usiwe domo zege tuPoa mkuu, japo mimi sio mwenyeji wa daresalama ila nitaangalia namna ya kufunga ziara kwa ajili yake.
Kivipi? Au wadudu ni vijana wa Arushe kwa ujumla? Maana hawa akili zao nchi nzima tunazifahamuMmmh, wanaakili za ajabu sana
Mkuu mbona hii kumbukizi imepita kwa mujibu wa bango! Ama hizi ni namba zake?Kazi kwako, usiwe domo zege tu
View attachment 3324647