Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Habari wadau, ebana niende kwenye mada,
Niliingia mahusiano na dada mmoja nikijua ana mtu wake na mahusiano yangu na yeye yalitokea tu bila kumtaka, yaani katika kuzoeana basi siku moja nikajikuta nimekula tunda.
Baada ya hapo nikasema WTF siwezi kuwa nae huyu nikataka kukausha lakini akanikazania sana kuwa ananicheki na msg za mahaba na story za kuashiria sie ni wapenzi. Ikabidi niende na flow lakini sasa kadri siku zinavyoenda naanza kumpenda and hiyo inanitisha maana yeye ana mpenzi wake na hawajaachana, hajaolewa lakini anaonekana kama ana malengo na huyo jamaa ila cha ajabu nikimwambia tuachane hataki anasema ananipenda.
Simuelewi kabisa wadau. Mpaka sasa nataka niachane nae kimyakimya kama ngwair lakini tatizo ni mtu naeonana nae kila siku na naishi nae mtaan yani na asiponiona siku hiyo lazima aje home kujifanya anaulizia kitu kwa wapangaji wenzangu mradi tu ajue kama nipo au laa.
Sasa nashindwa kumuelewa kwakweli, hebu nipeni maoni yenu wadau. Kuendelea nae siwezi coz Idont want to fall in love nae. Kumuacha pia hataki.