Nimempenda Msichana wakati nimeshaoa.

Nimempenda Msichana wakati nimeshaoa.

Joined
Jun 7, 2012
Posts
65
Reaction score
12
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
 
siku zote tamaa ikikutawala ndiyo mambo kama hayo yanatokea! hivi kutenda mtende nyinyi tu, mkitendwa haifai! nakuulizaje what if na yeye anagongwa nje huko?? wanawake wapo wengi wazuriiiiiii na wanazaliwa kila kukicha, hebu tupunguze zinaa na tamaa jamani! TUIRUDISHE HOFU YA MUNGU KHA!
 
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili
 
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili

Duh...atafute pakweka 'MOYO' na home aweke 'AKILI'. Duh daaahh naweza elewa lakini....FURAHA na AMANI vikitoweka ndani ya moyo wa \mwanadamu/mtu. Lakini sasa? That way? Duh
 
Shekhe Gorogosi Jr , Umejaribu kubadili simu zako ili ukate mawasiliano kama bado jaribu, pili ukiwa umeshindwa dini yako inakuruhusu upto 4, then go ahead uzidi kugonga kihalali zaidi.
 
Last edited by a moderator:
du kama ndoa zenyewe ndio hizi,ni bora uwe mwenyewe tu
 
Una lolote unaendekeza Uzinzi na Tamaa tu Tulia na mkeo kwani hata ukimwacha baada ya muda utakuwa na mwingine.Wewe ulivyoooa ulikuwa ujajiandaa yaani miaka mitatu umechoka tayari Ndugu jiulize maswali kwenye ubongo wako
 
Naomba ubadili ID Ya Shekhe gorogosi Jr kipindi hiki unapomsaliti mkeo au oa kabisa awe mke wa pili

Uislamu uliona mbali na ulijua km ipo ck mwanaume ataoa na atatamani nje,ndomana ikaeka sheria ya mke zaidi ya 1.ila upande wa dini nyenhn huchukia lkn ukweli ni kwamba mungu anatujua kuliko 2navojijua ndo mana ak2ekea sheria.
 
Shekhe dini yako inaruhusu kuoa wake wawili
Kwanini unajitesa ?ongeza tu mke ili mama watoto ajue kuna mwenzie
 
Una lolote unaendekeza Uzinzi na Tamaa tu Tulia na mkeo kwani hata ukimwacha baada ya muda utakuwa na mwingine.Wewe ulivyoooa ulikuwa ujajiandaa yaani miaka mitatu umechoka tayari Ndugu jiulize maswali kwenye ubongo wako
halafu sisi tukisaritiwa yanatokea haya....
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    59.3 KB · Views: 79
Yan miaka mitatu tuu mke wako ameshakuwa mchungu?? Jamani mnatukatisha tamaa ambao bado hatujaolewa.. Haya halalisha basi uwe na amani na huyo bi mdogo.. Baada ya miezi sita utatuambia umepata bi mdogo mwingine tena.. Wazuri hawaishi...
 
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:

Wee ni dini gani? Maana nasikia kuna dini inaruhusu Mwanamume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja lakini ina restrict mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja na inafahamika kama ni dini ya haki. Ukishaniambia wewe ni dini gani nitakuwa kwenye position nzuri ya kukushauri.
 
siku zote tamaa ikikutawala ndiyo mambo kama hayo yanatokea! hivi kutenda mtende nyinyi tu, mkitendwa haifai! nakuulizaje what if na yeye anagongwa nje huko?? wanawake wapo wengi wazuriiiiiii na wanazaliwa kila kukicha, hebu tupunguze zinaa na tamaa jamani! TUIRUDISHE HOFU YA MUNGU KHA!

2jifunze kukinai jamani,na eka imani kua ipo cku sir God ata2liza ndoa zetu tulizitunza vp,ipo cku 2tafukuliwa na kuulizwa na kuhukumiwa.na jifunze kuamini kua mke wng ndo mzr haijalishi km wp wazuri wngn,kesho kwa mungu 2tahukumiwa vby ivi bado unamke na unazini?sababu ya kuoa ipo wp c ucngeoa,ukibaini mkeo anafunguliwa utajickiaje?sasa unaic atajickiaje yy unamvomfanyia,utupu wk unauonesha ovyo wkt haki ya mkeo,muogope mungu,bado una pumzi fanya TOBA YA DHATI LEO UCSUBIRI KESHO HUNA HAKIKA KM UTAFIKA.JIKURUBISHE NA MUNGU.
 
Duh...atafute pakweka 'MOYO' na home aweke 'AKILI'. Duh daaahh naweza elewa lakini....FURAHA na AMANI vikitoweka ndani ya moyo wa \mwanadamu/mtu. Lakini sasa? That way? Duh
ndio hivyo bwana utafanyaje hasa kama ndoa hazikalili
 
Hata mimi napendwa na mume wa mtu! Ni wewe enh??
 
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:

Hili tatizo limetokea kwa watu wengi lakini miongoni mwa sababu za kutoa tatizo hili ni:
1. Kuoa mtu ambaye ulivutiwa naye kwa sababu ya vitu fulani au shinikizo fulani na siyo moyo wako
2. Ugomvi wa ndani ya familia
3. nk

Cha msingi kama suala ni ugomvi ndani ya nyumba tafuta namna ya suluhu ili moyo wako umrudie mkeo na kama suala lako linasababishwa na namba moja hapo juu then unahitaji kuikana nafsi yako kuukubali ukweli na kuulazimishwa moyo uamini kuwa wewe sasa ni mume wa mtu na unahitaji kuwa mwaminifu kwa mwingine. Njia rahisi ya kuondoka na tatizo ni kujiweka kwenye position ya mkeo na kufikiria kama yeye angekuwa anakutendea hivyo ungejisikiaje. Hii inaweza kukupa guilty consiousness ya kukufanya usiisaliti hiyo ndoa.
 
Back
Top Bottom