Shekhe Gorogosi Jr
Member
- Jun 7, 2012
- 65
- 12
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows: