Shekhe Gorogosi Jr
Member
- Jun 7, 2012
- 65
- 12
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili
Naomba ubadili ID Ya Shekhe gorogosi Jr kipindi hiki unapomsaliti mkeo au oa kabisa awe mke wa pili
du kama ndoa zenyewe ndio hizi,ni bora uwe mwenyewe tu
Shekhe dini yako inaruhusu kuoa wake wawili
Kwanini unajitesa ?ongeza tu mke ili mama watoto ajue kuna mwenzie
halafu sisi tukisaritiwa yanatokea haya....Una lolote unaendekeza Uzinzi na Tamaa tu Tulia na mkeo kwani hata ukimwacha baada ya muda utakuwa na mwingine.Wewe ulivyoooa ulikuwa ujajiandaa yaani miaka mitatu umechoka tayari Ndugu jiulize maswali kwenye ubongo wako
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
siku zote tamaa ikikutawala ndiyo mambo kama hayo yanatokea! hivi kutenda mtende nyinyi tu, mkitendwa haifai! nakuulizaje what if na yeye anagongwa nje huko?? wanawake wapo wengi wazuriiiiiii na wanazaliwa kila kukicha, hebu tupunguze zinaa na tamaa jamani! TUIRUDISHE HOFU YA MUNGU KHA!
ndio hivyo bwana utafanyaje hasa kama ndoa hazikaliliDuh...atafute pakweka 'MOYO' na home aweke 'AKILI'. Duh daaahh naweza elewa lakini....FURAHA na AMANI vikitoweka ndani ya moyo wa \mwanadamu/mtu. Lakini sasa? That way? Duh