Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
GS kajikalia kimya anaangalia gem aliyoanzisha inavyoenda!
 
Mwanakijiji saa hizi anashuka tu mistari na beti.....LOL

Ya aina hii hapa......hahaaaaaaaaaaaa

Midnight Whispers
In the middle of the night
I searched for you
Sweating and panting
Praying and waiting
For you to come!

I longed for your touch
Those midnight whispers
Alone and frightened was I
Dreaming of your return

Tears flowing,
In the dark corner of my room
My hands holding my knees
Like an abandoned groom
Calling the angels to protect you
Where are you my love?

You came into my life
Brightened everything
Giving me hope for the future
and smiles for a thousands reasons!
I'm still so deeply, crazily, and madly
In Love!

Where are you my queen
The champion of my heart
The Worrier of my dreams
Forever guardian of my hopes!

By. M.M. Mwanakijiji (The Voice of the Village)
 
Sisi wavuvi wa samaki sijui hizi ngekewa zitatuangukia lini jamani da!.
 
Hahaaaaaaaaaa...Umeona eeeeh

sasa wabongo bwana.. wote mnanishakizia mimi.. yaani hakuna mtu mwingine anayejifikiria ni yeye kapendwa isipokowa mimi; sasa kama nimedondokewa ki hivyo si inabidi japo tuzungumze tuweze kuona mambo yatakuwaje maana bi mkubwa naweza kumuelewesha akanielewa lakini hapa dalili zote zinaonesha uwezekano wa "irreconcilable difference" will come into play halafu watu tuende kugawana marital assets na mtu mzima nibakia na child na spouse support for so many years kisa na mkasa JF!!
 
yaani! halafu NN ndiyo sasa amechokoza nyuki maana shemeji yenu kaja juu hapa kuwa "unaona rafiki yako anasema ni wewe". Sasa inabidi nizoze na GS chemba ili niweze kuona jinsi gani tunaweza "kuyamaliza kiutuzima".. kama ni mimi, maana unaweza kujipa ujiko kumbe aliyedondokewa mchambuzi wa kisiasa yuko Ubalozini UK!

ha ha ha haaaa kuna watu wamepinda humu,mzee acha kuhamisha gari bana
Ya aina hii hapa......hahaaaaaaaaaaaa

Midnight Whispers
In the middle of the night
I searched for you
Sweating and panting
Praying and waiting
For you to come!

I longed for your touch
Those midnight whispers
Alone and frightened was I
Dreaming of your return

Tears flowing,
In the dark corner of my room
My hands holding my knees
Like an abandoned groom
Calling the angels to protect you
Where are you my love?

You came into my life
Brightened everything
Giving me hope for the future
and smiles for a thousands reasons!
I'm still so deeply, crazily, and madly
In Love!

Where are you my queen
The champion of my heart
The Worrier of my dreams
Forever guardian of my hopes!

By. M.M. Mwanakijiji (The Voice of the Village)
he he heeee hizi ndo sera anamwaga kule,mkuu yaani nimecheka mpaka basi,yaani hapa kama vile namuona GS mkono shavuni anamsikiliza mzee anavyoanguka mashairi kama bi kidude(AHMADA UMELEWA):drum:
 
Ndugu zangu,nawashukuru wote mliochangia sredi hii.Kwanza niombe radhi kuwa sikuweza kufuatilia mjadala huu ulipokuwa unajadiliwa kwa mapana yake asubuhi na mchana wa leo.Nilikuwa bize kidogo na kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa,John Tendwa kujadili Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwezi oktoba mwaka jana,kilichofanyika Markhamu Hotel Mikocheni jijini Dar.Nilipata fursa kidogo mchana nikapita jukwaa hili kwa dakika chache and then nikatakiwa kushiriki kwenye function ya Fredrich Ebert Stiftung(FES),shirika la Kijerumani ambapo leo ilikuwa ni Patner's Day kwa shirika lao na walikuwa wanafanya evaluation kuhusu program zao.Hivyo nilibanwa siku nzima..Nimepata fursa ikabidi nipitie michango yenu.

Kuna mambo kadhaa yamejitokeza,
1. Kuna watu waliotoa ushauri kama nilivyoomba,hawa ninawashukuru sana tena sana..ushauri wenu nimeuzingatia na nitafanya kama mlivyonielekeza..Nitfanya mawasiliano na jamaa kwanza halafu baadaye ndio nitamwambia..nasikitika jamaa mwenyewe wala hajapita jukwaa hili siku ya leo,maana sijaona mchango wake kwenye sredi hii..Nitawajulisha mambo ya kitiki.
2. Kuna watu wameibuka na kunisingizia kwamba mimi niliwahi kutamka kwenye jukwaa hili kwamba mimi ni She-sijawahi kusema hivyo I stand to be corrected..Balantanda umenisingizia..
3.Kuna watu wamehisi kuwa jamaa aliyedondokewa ni Mwanakijiji,Mmekosea kabisa,Give me a break to fall in love kwa Mzee,aah wapi hilo haliwezekani.JF ina wachambuzi wengi wa siasa,uchumi n.k kama vile Rev Kishoka,Ndege ya Uchumi,Waberoya,Tumaini,Pasco,Ben to mention the least.Kwanini awe Mzee huyu?
4.Kuna watu wamesema sredi hii ni stori.Huyu amekosea-Second nini sijui anajiita huyu mtu-Mkuu it is not a story rather ni kisa cha kweli..Believe me.
5.Kuna watu wamesema mapenzi ya facebook,sijui online ni upuuzi,lakini ukweli ndio mwenzeni i have fallen in love,katika hali kama hii I have to face the challenges...
6.Kuna watu wamesema Chat room imeleta mambo,si kweli kabisa,chat room imeanza juzi.Nilimpenda huyu jamaa kabla hata sijawa mchangiaji wa JF,nikiwa kama msomaji tu..

Nadhani nimeeleweka kwa sasa..kama kuna nililosahau nikumbusheni tafadhali..

Thanks once again.
 
2. Kuna watu wameibuka na kunisingizia kwamba mimi niliwahi kutamka kwenye jukwaa hili kwamba mimi ni She-sijawahi kusema hivyo I stand to be corrected..Balantanda umenisingizia..

heee :rolleyez:
 
3.Kuna watu wamehisi kuwa jamaa aliyedondokewa ni Mwanakijiji,Mmekosea kabisa,Give me a break to fall in love kwa Mzee,aah wapi hilo haliwezekani.JF ina wachambuzi wengi wa siasa,uchumi n.k kama vile Rev Kishoka,Ndege ya Uchumi,Waberoya,Tumaini,Pasco,Ben to mention the least.Kwanini awe Mzee huyu?

I'm not buying it. Wewe na mwenzako Mwanakijiji tayari mmeshaongea na kuja na mbinu ya kupoteza lengo. Mimi bado nasema aliyedondokewa ni Mwanakijiji
 
I'm not buying it. Wewe na mwenzako Mwanakijiji tayari mmeshaongea na kuja na mbinu ya kupoteza lengo. Mimi bado nasema aliyedondokewa ni Mwanakijiji
umeona eeh,halafu MMKJJ kampa bonge la then-kisi,wanatuzuga hawa,mshakubaliana sie tunachukua jembe la mzee tukalime.
 
Mmh,jamani watu wengine kwa ubishi.Nyani Ngabu na Babu Kijana acheni ubishi..Haya shauri yenu bwana mimi nimeshaeleza ukweli wangu,yatosha..sitasema tena kuhusu hili.
 
umeona eeh,halafu MMKJJ kampa bonge la then-kisi,wanatuzuga hawa,mshakubaliana sie tunachukua jembe la mzee tukalime.

Nyie mnacheza madogori ya Sheikh Yahya kujaribu kutabiri nani mwenye mali zake, mwenye mali zake yuko kimya anawachora tu mnavyohangaika kumtafuta hahahahahahah kila la heri na madogori yenu. GS endelea na penzi lako lililojaa utamu wa hali ya juu, mahaba tele na raha bab kubwa.
 
Duh...sikutegemea hizi sumu zinazokaangwa humu JF zinaeza mpatia ntu 'nke'..Mi n'lizaniaga ni mchezo tu wa bao na gombesugu kule kwetu nd'o n'tu apewa n'ke..Anyways mdau test zali, remember we miss 100% to those shots we did not take...I hope uko na right reasons.
 
Gender Sensitive 2. Kuna watu wameibuka na kunisingizia kwamba mimi niliwahi kutamka kwenye jukwaa hili kwamba mimi ni She-sijawahi kusema hivyo I stand to be corrected..Balantanda umenisingizia.. [/QUOTE said:
GS.....Samahani kama nimekukwaza...hata hivyo nina uhakika na kauli niliyoisema,kuna thread ulikiri kwamba wewe ni SHE..nitaitafuta niilete hapa kama kiambatisho....Hata hivyo post yako mama kwenye thread hii inadhihirisha kwamba u mwanamke(labda iwe ni yale mahusiano ya kisasa

"Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.''

Kazi njema
 
GS mie machale yananambia jamaa unaempenda anaanza na M ndo maana watu tukafikiri Mwanakijiji lakini kumbe ni M mwengine (mwenzenu nimepata somo kutoka kwa sheikh yahya....muahaha )

ushauri: siku ukitaka kuzungumza nae vaa nguo ya blue yenye kukubana kidogo 😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom