Ndugu zangu,nawashukuru wote mliochangia sredi hii.Kwanza niombe radhi kuwa sikuweza kufuatilia mjadala huu ulipokuwa unajadiliwa kwa mapana yake asubuhi na mchana wa leo.Nilikuwa bize kidogo na kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa,John Tendwa kujadili Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwezi oktoba mwaka jana,kilichofanyika Markhamu Hotel Mikocheni jijini Dar.Nilipata fursa kidogo mchana nikapita jukwaa hili kwa dakika chache and then nikatakiwa kushiriki kwenye function ya Fredrich Ebert Stiftung(FES),shirika la Kijerumani ambapo leo ilikuwa ni Patner's Day kwa shirika lao na walikuwa wanafanya evaluation kuhusu program zao.Hivyo nilibanwa siku nzima..Nimepata fursa ikabidi nipitie michango yenu.
Kuna mambo kadhaa yamejitokeza,
1. Kuna watu waliotoa ushauri kama nilivyoomba,hawa ninawashukuru sana tena sana..ushauri wenu nimeuzingatia na nitafanya kama mlivyonielekeza..Nitfanya mawasiliano na jamaa kwanza halafu baadaye ndio nitamwambia..nasikitika jamaa mwenyewe wala hajapita jukwaa hili siku ya leo,maana sijaona mchango wake kwenye sredi hii..Nitawajulisha mambo ya kitiki.
2. Kuna watu wameibuka na kunisingizia kwamba mimi niliwahi kutamka kwenye jukwaa hili kwamba mimi ni She-sijawahi kusema hivyo I stand to be corrected..Balantanda umenisingizia..
3.Kuna watu wamehisi kuwa jamaa aliyedondokewa ni Mwanakijiji,Mmekosea kabisa,Give me a break to fall in love kwa Mzee,aah wapi hilo haliwezekani.JF ina wachambuzi wengi wa siasa,uchumi n.k kama vile Rev Kishoka,Ndege ya Uchumi,Waberoya,Tumaini,Pasco,Ben to mention the least.Kwanini awe Mzee huyu?
4.Kuna watu wamesema sredi hii ni stori.Huyu amekosea-Second nini sijui anajiita huyu mtu-Mkuu it is not a story rather ni kisa cha kweli..Believe me.
5.Kuna watu wamesema mapenzi ya facebook,sijui online ni upuuzi,lakini ukweli ndio mwenzeni i have fallen in love,katika hali kama hii I have to face the challenges...
6.Kuna watu wamesema Chat room imeleta mambo,si kweli kabisa,chat room imeanza juzi.Nilimpenda huyu jamaa kabla hata sijawa mchangiaji wa JF,nikiwa kama msomaji tu..
Nadhani nimeeleweka kwa sasa..kama kuna nililosahau nikumbusheni tafadhali..
Thanks once again.