Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL
......KAMA NI KWELI, USIMTAJE,ANAETAJWA NI MCHUMBA AU MUME SI RAFIKI/SWEETHEART WA KUFIKIRIKA.ANAEISHI NCHI YA KUFIKIRIKA.......OTHERWISE UTAHARIBU KILAKITU. MWENYE WIVU AJINYONGE,ILA AJUE KWA KUJINYONGA HATAUONA UFALME WA MBINGUNI. Nisameheni kama nimewakwaza hasa wale wote mnaotaka kutajiwa.
 
Tall my friend,wala sina mpango wa kumtaja..Vipi kesho nikuone saa ngapi?ha ha ha.Ngoja niwarushe roho kina bht na Balantanda.
 
Ujengelele si kila kitu kiwe na kisasi; wakati mwingine mnawakwaza sasa dada zenu humu hadi mtu anaogopa kutoa mawazo kwa sababu watu "watakumbushia". Wakati mwingine tuenjoy the moment tu bila kumng'ang'ania mtu hadi apaone JF pachungu.

Kisasi kati yangu na yeye kimesababishwa na nini? Amejijengea clean image hapa sasa anavyoandika mambo ambayo hayaendeani na hiyo clean image basi ni lazima tuulize na hakuna kosa lolote kuuliza chochote hapa ukumbini na kuuliza hakuonyeshi kisasi.
 
Naomba mwaliko mtakapokuwa hizi weekend zimekuja vibaya mood iko gogoro kabisa ...

FL1.Pole kwa kuwa na mgogoro na mood yako..Unforunately kukutana kwetu kulikuwa hakuhitaji watu wengine zaidi yetu.May be next time.
 
Jamani kweli dunia ina viroja..Kupenda mtu usiyemjua,pole ndugu.Jitahidi kufanya kama wengine walivyokushouri naamini kabisa utafanikiwa..Ukishindwa jinsi ya kumuingia niPM ili nikupe mbinu za kumpata.
 
Sio Viroja ndio hali halisi Mkuu..Dunia ina mambo.
 
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

Nani kati yetu nawe anayefanya utani? Huu ni utani wa kumchungulia mkweo, mkweo wa jinsi tofauti na yako. Litakalo kupata tafadhali usituambie wala kutueleza.
 
Si ulishaandika hapa siku za nyuma kwamba umeolewa? yanakupataje tena mambo ya kushangilia wa hapahapa na wewe ni mke wa mtu? Umeachika au ndiyo mambo ya nyumba ndogo?

Samahani sana ndugu.... nilimwandikia nani na kwa mukhtadha upi?
Pia kama nimeolewa, nikaachika au ni nyumba ndogo sijui kama ni ishu hapa!

Ujengelele si kila kitu kiwe na kisasi; wakati mwingine mnawakwaza sasa dada zenu humu hadi mtu anaogopa kutoa mawazo kwa sababu watu "watakumbushia". Wakati mwingine tuenjoy the moment tu bila kumng'ang'ania mtu hadi apaone JF pachungu.

Well said Mkuu... I think its time watu wajue kuwa siyo kila kisemwacho JF basi ni kama msahafu. At times people just want to take things lightly bila kujali sana kuzodolewa.Nimeshindwa kumwelewa huyu ndugu Ujengelele ambaye sijawahi hata mara moja kugongana naye kwenye hoja yoyote, na ndio maana pamoja na kuisoma post yake toka aibandike sikujibu.

Kisasi kati yangu na yeye kimesababishwa na nini? Amejijengea clean image hapa sasa anavyoandika mambo ambayo hayaendeani na hiyo clean image basi ni lazima tuulize na hakuna kosa lolote kuuliza chochote hapa ukumbini na kuuliza hakuonyeshi kisasi.
Nilijijengea? Isitoshe do u know what Wahapahapa mean? Hata kama ni kutetea nilichoandika hakina uchafu wowote kama unavyotaka kusema , It simply means stick with those close to you! IF THAT IS DIRTY - POLE SANA.kAMA UNA LAKO LINGINE LIWEKE WAZI BADALA YA KUTAFUTA KIANZIO.
NO OFFENCE INTENDED THOUGH - NO HARD FEELINGS EITHER!
 
Ha ha haa,JF bwana! ! !

Nimemiss mambo mengi kweli JF,pepaz nazo,mweh!
 
Nani kati yetu nawe anayefanya utani? Huu ni utani wa kumchungulia mkweo, mkweo wa jinsi tofauti na yako. Litakalo kupata tafadhali usituambie wala kutueleza.

Mweee,kazi ipo Bazazi..Nilikinipata la kunipata nitawaeleza wale wanaonijali sio wewe unayeanza kunitishia badala ya kunishauri..
 
Nilijijengea? Isitoshe do u know what Wahapahapa mean? Hata kama ni kutetea nilichoandika hakina uchafu wowote kama unavyotaka kusema , It simply means stick with those close to you! IF THAT IS DIRTY - POLE SANA.kAMA UNA LAKO LINGINE LIWEKE WAZI BADALA YA KUTAFUTA KIANZIO.
NO OFFENCE INTENDED THOUGH - NO HARD FEELINGS EITHER!

Mh, naona WOS kweli umeamua....
 
Mh, naona WOS kweli umeamua....

Halafu jamaa mwenyewe aliyeanzisha uchokozi huu kwa WOS yaani Ujengelele kaingia mitini..Tatizo lake laidandia gari kwa nyuma...Vipi lakini hujambo wewe?
 
good........utaishi nae muda mrefu saaana kwa sababu hiyo.............
 
Fixed point we to ushauri wako kulingana na srdi husika.Habari za kujua jinsia ya mpendwa au mpenda haina maana kwa sasa..We saidia bila kujali jinsia kwani mapenzi hayana jinsia na kutongoza au kutongozwa hakuangalii jinsia pia..Mwaga point basi..

Gender Sensitive, jinsia ni muhimu kwani inasaidia kujua ni mkakati (strategy) gani utumike kumuingia huyu mtu unayempenda bila kumfahamu.
 
Ni vizuri pia tukajua "sexual orientation" ya huyu mlengwa kwani hapo pia panahitaji mikakati tofauti na inaweza ikabadilisha mawazo yako pia. Yaani tujue kama na gay au lesbian.
 
Gender Sensitive, jinsia ni muhimu kwani inasaidia kujua ni mkakati (strategy) gani utumike kumuingia huyu mtu unayempenda bila kumfahamu.

Sidhani kama ni muhimu as long as wenyewe wanajuana jinsia zao..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom