......KAMA NI KWELI, USIMTAJE,ANAETAJWA NI MCHUMBA AU MUME SI RAFIKI/SWEETHEART WA KUFIKIRIKA.ANAEISHI NCHI YA KUFIKIRIKA.......OTHERWISE UTAHARIBU KILAKITU. MWENYE WIVU AJINYONGE,ILA AJUE KWA KUJINYONGA HATAUONA UFALME WA MBINGUNI. Nisameheni kama nimewakwaza hasa wale wote mnaotaka kutajiwa.sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL
......KAMA NI KWELI, USIMTAJE,ANAETAJWA NI MCHUMBA AU MUME SI RAFIKI/SWEETHEART WA KUFIKIRIKA.ANAEISHI NCHI YA KUFIKIRIKA.......OTHERWISE UTAHARIBU KILAKITU. MWENYE WIVU AJINYONGE,ILA AJUE KWA KUJINYONGA HATAUONA UFALME WA MBINGUNI. Nisameheni kama nimewakwaza hasa wale wote mnaotaka kutajiwa.
Tall my friend,wala sina mpango wa kumtaja..Vipi kesho nikuone saa ngapi?ha ha ha.Ngoja niwarushe roho kina bht na Balantanda.
Ujengelele si kila kitu kiwe na kisasi; wakati mwingine mnawakwaza sasa dada zenu humu hadi mtu anaogopa kutoa mawazo kwa sababu watu "watakumbushia". Wakati mwingine tuenjoy the moment tu bila kumng'ang'ania mtu hadi apaone JF pachungu.
Naomba mwaliko mtakapokuwa hizi weekend zimekuja vibaya mood iko gogoro kabisa ...
Jamani kweli dunia ina viroja..Kupenda mtu usiyemjua,pole ndugu.Jitahidi kufanya kama wengine walivyokushouri naamini kabisa utafanikiwa..Ukishindwa jinsi ya kumuingia niPM ili nikupe mbinu za kumpata.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
Si ulishaandika hapa siku za nyuma kwamba umeolewa? yanakupataje tena mambo ya kushangilia wa hapahapa na wewe ni mke wa mtu? Umeachika au ndiyo mambo ya nyumba ndogo?
Ujengelele si kila kitu kiwe na kisasi; wakati mwingine mnawakwaza sasa dada zenu humu hadi mtu anaogopa kutoa mawazo kwa sababu watu "watakumbushia". Wakati mwingine tuenjoy the moment tu bila kumng'ang'ania mtu hadi apaone JF pachungu.
Nilijijengea? Isitoshe do u know what Wahapahapa mean? Hata kama ni kutetea nilichoandika hakina uchafu wowote kama unavyotaka kusema , It simply means stick with those close to you! IF THAT IS DIRTY - POLE SANA.kAMA UNA LAKO LINGINE LIWEKE WAZI BADALA YA KUTAFUTA KIANZIO.Kisasi kati yangu na yeye kimesababishwa na nini? Amejijengea clean image hapa sasa anavyoandika mambo ambayo hayaendeani na hiyo clean image basi ni lazima tuulize na hakuna kosa lolote kuuliza chochote hapa ukumbini na kuuliza hakuonyeshi kisasi.
Nani kati yetu nawe anayefanya utani? Huu ni utani wa kumchungulia mkweo, mkweo wa jinsi tofauti na yako. Litakalo kupata tafadhali usituambie wala kutueleza.
Nilijijengea? Isitoshe do u know what Wahapahapa mean? Hata kama ni kutetea nilichoandika hakina uchafu wowote kama unavyotaka kusema , It simply means stick with those close to you! IF THAT IS DIRTY - POLE SANA.kAMA UNA LAKO LINGINE LIWEKE WAZI BADALA YA KUTAFUTA KIANZIO.
NO OFFENCE INTENDED THOUGH - NO HARD FEELINGS EITHER!
Mh, naona WOS kweli umeamua....
Fixed point we to ushauri wako kulingana na srdi husika.Habari za kujua jinsia ya mpendwa au mpenda haina maana kwa sasa..We saidia bila kujali jinsia kwani mapenzi hayana jinsia na kutongoza au kutongozwa hakuangalii jinsia pia..Mwaga point basi..
Gender Sensitive, jinsia ni muhimu kwani inasaidia kujua ni mkakati (strategy) gani utumike kumuingia huyu mtu unayempenda bila kumfahamu.
Gender Sensitive, jinsia ni muhimu kwani inasaidia kujua ni mkakati (strategy) gani utumike kumuingia huyu mtu unayempenda bila kumfahamu.
Yaani wewe hujampata tu huyo mtu wako?
Mh, naona WOS kweli umeamua....