Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Hehehehehee.kumbe na wewe umo kama babu iribini.Nimesha-do ze nidful pale juu katazame.Charity kabatini kapi hako..acha uchoyo si unigongee tu hako ka senksi..
Kumbe una wivu kiasi hicho.Jiamini bibiye,raha jipe mwenyewe.GS mi nakupendeaga hapo tu!!! unasemaga ukweli pasi kificho!!!
ila hapo kwenye blue mmh umenikwaza hivi kumbe mume wangu nae anakuwani eeh!!?? ngoja ...
Jamani, mi naomba kualikwa kwenye shughuli kila kitu kikikamilika!
Kumbe una wivu kiasi hicho.Jiamini bibiye,raha jipe mwenyewe.
GS mi nakupendeaga hapo tu!!! unasemaga ukweli pasi kificho!!!
ila hapo kwenye blue mmh umenikwaza hivi kumbe mume wangu nae anakuwani eeh!!?? ngoja ...
Ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ndio maana nimelikubali ombi lako.bht..Ndege ya Uchumi anaweza asijijue kama ni yeye ama la..Bado sijafanya mazungumzo na huyo jamaa kwahivyo kwa sasa anaweza asijijue kama ndio yeye..
Ndege ya Uchumi-aliyeongelewa hapa ni mchambuzi wa masula ya siasa na uchumi bila kujali kama yeye ni mwanasiasa ama la.
mimi na wewe tunagongana sana kule kwnye jukwaa la siasa,hujagundua tu,watch my steps you might be the one..Wenzako wanaililia sana hii nafasi,kina De Novo,Xpin,Balantanda samahani bht kama nitakuwa nimekukwaza,Tall,Mr Man na wengine wengi..
Duh! Nshakuwa babu tena?Hehehehehee.kumbe na wewe umo kama babu iribini.Nimesha-do ze nidful pale juu katazame.
habari ndio hiyo...ila nimeshaomba radhi lakini ninachosema ni ukweli mtupu....lakini usijali mie nishapenda kwingine kwahiyo hawezi kunipata..ha ha ha!
Ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ndio maana nimelikubali ombi lako.
Una kura yangu usisahau...........
Duh! Nshakuwa babu tena?
Unaona? Tayari umekwisha anza!!!![/QUOTE]
MWANANGU MPENZI, KAKAANGU MTANASHATI, ACHA MATUMIZI YA HIYO PHRASE KWA AFYA YA AKILI YANGU!!!
Hapa ndipo pananitia mashaka mpaka nakuita babu.Sasa umekubali ombi lake kivipi? kwani na wewe siku hizi umehamia kwenye siasa na uchumi?Ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ndio maana nimelikubali ombi lako.
Una kura yangu usisahau...........
Duh! Nshakuwa babu tena?
Unaona? Tayari umekwisha anza!!!!
Hapa ndipo pananitia mashaka mpaka nakuita babu.Sasa umekubali ombi lake kivipi? kwani na wewe siku hizi umehamia kwenye siasa na uchumi?
Edo usiwe na wasiwasi utakaribishwa tu..Narekod jina lako.
Wapenzi natoka kidogo nitarejea..Nahitajika kidogo..
MWANANGU MPENZI, KAKAANGU MTANASHATI, ACHA MATUMIZI YA HIYO PHRASE KWA AFYA YA AKILI YANGU!!!
ASANTE SANA CHARITY,TATIZO NI KUWA SIKUWA NIMEFUATILIA HII THREAD KWA MUDA WA WEEK HIVI.Bahati nzuri baada ya kuipitia NIMEELEWA KILA KITU. KUNA POSTS ZA GS HAPA NAMBA......,NA........,NA...........NA.....NDANI YA HII THREAD,KASEMA KILA KITU.HATA SIELEWI KWA NINI AMEKUWA MUWAZI HIVYO,HIZO POSTS UKIZIUNGANISHA MAMBO YAPO WAAAAAZI.Tall,
1.hata ndege ya uchumi anaweza kuwa abroad.wewe una uhakika gani yupo bongo?unamfahamu?
2.Hata GS hajawahi kumwona DYU.
3.GS huwa wanagongana na DYU kule kwenye siasa.
Kwa hiyo bado sio justification kuwa sio yeye.Tusubiri tu GS atatupa majibu siku moja.
Kale kabatani sijakaona ningekugongea nadhani umeeleza vizuri sana hata Mkuu Tall atapata majibu yake yote hapa.
Umesahau yale mambo yetu ya kudumisha mila?Hapa ndipo pananitia mashaka mpaka nakuita babu.Sasa umekubali ombi lake kivipi? kwani na wewe siku hizi umehamia kwenye siasa na uchumi?
Si unaona M? Wasiwasi wake tu.EEEH!!! chaako ni chako bibie!!
Khaaaaa! yanakuwa hayo tena.Sasa hii si aina ya rushwa hii? bht hebu justification kidogo.Na ina maana humuamini shemeji B kiasi hik? Angekuwa kama my asali Xpin si ungepata presha wewe?nenda urudi hapa..............mi namashaka na wewe na karibu ntarudisha kadi ya chama!!!!
tatizo hapo ni mtandao au msemaji mamushka?
Anyaway ngoja niache maswali, tayari nimesha acha!
Asante kwa kuwa muelewa wa haraka.Tatizo kabatani kanapotea sana leo,ningekupa haki yako.ASANTE SANA CHARITY,TATIZO NI KUWA SIKUWA NIMEFUATILIA HII THREAD KWA MUDA WA WEEK HIVI.Bahati nzuri baada ya kuipitia NIMEELEWA KILA KITU. KUNA POSTS ZA GS HAPA NAMBA......,NA........,NA...........NA.....NDANI YA HII THREAD,KASEMA KILA KITU.HATA SIELEWI KWA NINI AMEKUWA MUWAZI HIVYO,HIZO POSTS UKIZIUNGANISHA MAMBO YAPO WAAAAAZI.