Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
GS mi nakupendeaga hapo tu!!! unasemaga ukweli pasi kificho!!!
ila hapo kwenye blue mmh umenikwaza hivi kumbe mume wangu nae anakuwani eeh!!?? ngoja ...
Kumbe una wivu kiasi hicho.Jiamini bibiye,raha jipe mwenyewe.
 
Kumbe una wivu kiasi hicho.Jiamini bibiye,raha jipe mwenyewe.

kujiamini hakumalizi wivu bidada jamani
yaani hiyo ngoja ni kwamba naongeza manjonjo ili mume wangu asitetereke!!! huyu GS haniwezi nakwambia!!!!
 
GS mi nakupendeaga hapo tu!!! unasemaga ukweli pasi kificho!!!
ila hapo kwenye blue mmh umenikwaza hivi kumbe mume wangu nae anakuwani eeh!!?? ngoja ...

Habari ndio hiyo...Ila nimeshaomba radhi lakini ninachosema ni ukweli mtupu....Lakini usijali mie nishapenda kwingine kwahiyo hawezi kunipata..ha ha ha!
 
bht..Ndege ya Uchumi anaweza asijijue kama ni yeye ama la..Bado sijafanya mazungumzo na huyo jamaa kwahivyo kwa sasa anaweza asijijue kama ndio yeye..

Ndege ya Uchumi-aliyeongelewa hapa ni mchambuzi wa masula ya siasa na uchumi bila kujali kama yeye ni mwanasiasa ama la.
mimi na wewe tunagongana sana kule kwnye jukwaa la siasa,hujagundua tu,watch my steps you might be the one..Wenzako wanaililia sana hii nafasi,kina De Novo,Xpin,Balantanda samahani bht kama nitakuwa nimekukwaza,Tall,Mr Man na wengine wengi..
Ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ndio maana nimelikubali ombi lako.
Una kura yangu usisahau...........

Hehehehehee.kumbe na wewe umo kama babu iribini.Nimesha-do ze nidful pale juu katazame.
Duh! Nshakuwa babu tena?

Unaona? Tayari umekwisha anza!!!!
 
habari ndio hiyo...ila nimeshaomba radhi lakini ninachosema ni ukweli mtupu....lakini usijali mie nishapenda kwingine kwahiyo hawezi kunipata..ha ha ha!

mume wangu ana kesi ya kujibu................
 
Ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ndio maana nimelikubali ombi lako.
Una kura yangu usisahau...........

Duh! Nshakuwa babu tena?

Unaona? Tayari umekwisha anza!!!![/QUOTE]

MWANANGU MPENZI, KAKAANGU MTANASHATI, ACHA MATUMIZI YA HIYO PHRASE KWA AFYA YA AKILI YANGU!!!
 
Ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ndio maana nimelikubali ombi lako.
Una kura yangu usisahau...........

Duh! Nshakuwa babu tena?

Unaona? Tayari umekwisha anza!!!!
Hapa ndipo pananitia mashaka mpaka nakuita babu.Sasa umekubali ombi lake kivipi? kwani na wewe siku hizi umehamia kwenye siasa na uchumi?
 
Hapa ndipo pananitia mashaka mpaka nakuita babu.Sasa umekubali ombi lake kivipi? kwani na wewe siku hizi umehamia kwenye siasa na uchumi?

EEEH!!! chaako ni chako bibie!!
 
MWANANGU MPENZI, KAKAANGU MTANASHATI, ACHA MATUMIZI YA HIYO PHRASE KWA AFYA YA AKILI YANGU!!!

Tatizo hapo ni mtandao au msemaji mamushka?

Anyaway ngoja niache maswali, tayari nimesha acha!
 
Tall,
1.hata ndege ya uchumi anaweza kuwa abroad.wewe una uhakika gani yupo bongo?unamfahamu?
2.Hata GS hajawahi kumwona DYU.
3.GS huwa wanagongana na DYU kule kwenye siasa.
Kwa hiyo bado sio justification kuwa sio yeye.Tusubiri tu GS atatupa majibu siku moja.

Kale kabatani sijakaona ningekugongea nadhani umeeleza vizuri sana hata Mkuu Tall atapata majibu yake yote hapa.
ASANTE SANA CHARITY,TATIZO NI KUWA SIKUWA NIMEFUATILIA HII THREAD KWA MUDA WA WEEK HIVI.Bahati nzuri baada ya kuipitia NIMEELEWA KILA KITU. KUNA POSTS ZA GS HAPA NAMBA......,NA........,NA...........NA.....NDANI YA HII THREAD,KASEMA KILA KITU.HATA SIELEWI KWA NINI AMEKUWA MUWAZI HIVYO,HIZO POSTS UKIZIUNGANISHA MAMBO YAPO WAAAAAZI.
 
nenda urudi hapa..............mi namashaka na wewe na karibu ntarudisha kadi ya chama!!!!
Khaaaaa! yanakuwa hayo tena.Sasa hii si aina ya rushwa hii? bht hebu justification kidogo.Na ina maana humuamini shemeji B kiasi hik? Angekuwa kama my asali Xpin si ungepata presha wewe?
 
Imebidi nianze kusoma kuanzia page ya kwanza ili kupata picha ya nini hasa kimekuwa kukijadiliwa au kuzungumzwa maana leo nilidandia kuanzia page ya 17.

Naweza kusema Mambo kadha wa Kadha

1: GS ni (Mdada/Mkaka) Jasiri sana kwa maana pasi kujua kama huyo Mkaka/Mdada aliyemizmia ni (Mke/Mume) wa Mtu ameelezea namna anavyomfeel. Naomba kumpongeza (Mdada/Mkaka) aliyepata bahati hii Maana naweza sema kwamba ametunukiwa jambo la pekee sana na GS yaani kuambiwa unazimikiwa mbele ya members zaidi ya 17,000 ni Jambo la Pekee sana.

2: Kwa huyo Mdada/Mkaka ( namaanisha alyezimikiwa) ningependa awe muwazi kwa GS kama ameoa au ameolewa asije akachukulia hii nafasi adhimu kabisa kumharibia au kum dissappoint GS.

3: Ningependa kumuomba GS akubali matokeo yeyote kama huyo Binti/kaka atakuwa ameolowa/ameoa basi lazima akubali kwamba kisicho Rizki Hakiliki na waendelee kuwa Normal friends

4: Mwisho kabisa napenda kusema kwamba Idumu JF na Mungu awape waanzilishi wake Afya tele
 
ASANTE SANA CHARITY,TATIZO NI KUWA SIKUWA NIMEFUATILIA HII THREAD KWA MUDA WA WEEK HIVI.Bahati nzuri baada ya kuipitia NIMEELEWA KILA KITU. KUNA POSTS ZA GS HAPA NAMBA......,NA........,NA...........NA.....NDANI YA HII THREAD,KASEMA KILA KITU.HATA SIELEWI KWA NINI AMEKUWA MUWAZI HIVYO,HIZO POSTS UKIZIUNGANISHA MAMBO YAPO WAAAAAZI.
Asante kwa kuwa muelewa wa haraka.Tatizo kabatani kanapotea sana leo,ningekupa haki yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom